ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Waliwahi waomba waingie kwenye Muungano?Nawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari.
Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi jirani (Zanzibar) wanapiga kura kuchagua Rais wa Tanganyika.
Jambo hilo lingekuwa na mantiki endapo nasisi Watanganyika tungeruhusiwa kushiriki kuwachagulia Rais watu wa Zanzibar. Kwakuwa hatuwaingilii kwenye uchaguzi wao, na wao wazuiliwe maramoja kutuchagulia Rais.
Muhimu ni kuweko kwa usawa kwa kadiri wananchi watakavyoamua na si kama ulivyo sasa kwa huu Muungano ambao ni matokeo ya maamuzi ya watu wawili.katika huu Muungano ilitakiwa Tanganyika iwe na katiba na utawala wake hali kadhalika nayo Zanzibar.
Rais awe ni mmoja tu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ila Tanganyika na Zanzibar zinaweza kuwa na viongozi wao wakuu lkn si ma Rais.
Watafurahi sana tu. Maana muda wa kwenda msikitini wakati mwengine wapo vituo vya kupigia kuraNawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari.
Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi jirani (Zanzibar) wanapiga kura kuchagua Rais wa Tanganyika.
Jambo hilo lingekuwa na mantiki endapo nasisi Watanganyika tungeruhusiwa kushiriki kuwachagulia Rais watu wa Zanzibar. Kwakuwa hatuwaingilii kwenye uchaguzi wao, na wao wazuiliwe maramoja kutuchagulia Rais.
Vikosi vya Zanzibar siyo Jeshi ni migambo tu😃Naomba kuheshimu maoni yako, ujinga ni kutokujua, hivyo mtu yoyote anayedhani Zanzibar ni nchi, ni mjinga kwa kutokujua kuwa Zanzibar sio nchi kwasababu haina sovereignty na haina dola!. Wale majeshi yake ya KMKM, JKU na vikosi vya SMZ, sio majeshi!, wale ni migambo tuu!. Zanzibar haina polisi, haina jeshi, haina sarafu, haina sovereignty!. Sio nchi!.
P
Umeelezea mengi,nikajua utajibu swali la mleta madaBandiko hili ni kielelezo cha uhitaji mkubwa wa elimu ya uraia kwa Watanzania wenzetu!. Watu wenye ufahamu na hili watamuona mleta mada kama ni lijinga fulani, kumbe huu ndio uelewa wa baadhi ya Watanzania wenzetu, ni wajinga tuu kwa kutoelewa. Dawa ya mjinga ni kumuelimisha.
1. Tanzania ni nchi moja ya JMT, ina rais mmoja, rais wa JMT ambaye anachaguliwa na Watanzania wote.
2. Tanzania ina uraia mmoja tuu, uraia wa Tanzania, hivyo Watanzania wote wana haki sawa ndani ya JMT, ikiwemo haki ya kupiga kura, na haki ya kugombea.
3. Tanzania ilitokana na muungano wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar, na kuwa nchi moja yenye sehemu mbili, Tanzania bara iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Zanzibar.
4. Tanzania bara haina utawala wake wa ndani, hivyo rais wa JMT ndie rais wa nchi anayechaguliwa na wote, lakini Zanzibar inao utawala wake wa ndani, seclusion, na rais wake, rais wa Zanzibar ambapo ni Wanzanzibari wakaazi pekee ndio wenye haki ya kuchamchagua rais wa Zanzibar.
5. Baada ya muungano wetu adhimu, Tanganyika ilikufa na kugeuka Tanzania, ila Zanzibar iliendelea kubaki sio kama nchi bali ilibaki kama sehemu ya JMT inayojitegemea.
Hivyo Wanzanzibari wote ni Watanzania na wana haki zote za kumchagua rais wa JMT ila wenye haki ya kumchagua rais wa Zanzibar ni Wazanzibari pekee!.
P
Sijui Zanzibar..sijui Tanganyika.....sijui Tanzania...sijui blah blahNawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari.
Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi jirani (Zanzibar) wanapiga kura kuchagua Rais wa Tanganyika.
Jambo hilo lingekuwa na mantiki endapo nasisi Watanganyika tungeruhusiwa kushiriki kuwachagulia Rais watu wa Zanzibar. Kwakuwa hatuwaingilii kwenye uchaguzi wao, na wao wazuiliwe maramoja kutuchagulia Rais.
Paskali kapuyanga Sana[emoji2]Acha kuchekesha mkuu!
Zanzibar siyo nchi wakati ina raia wake, Bunge lake na mawaziri wake?
Zanzibar siyo nchi wakati ina wimbo wake wa Taifa?
Zanzibar siyo nchi wakati ina bendera yake?
Zanzibar siyo nchi wakati hata plate namba za magari ya huko ni tofauti na ya magari ya Tanganyika?
Zanzibar siyo nchi Mtanganyika hawezi kuvusha mzigo bila kutozwa Kodi "mpakani"?
Zanzibar siyo nchi wakati Mtanganyika hawezi kuendesha gari huko bila kibali maalum?
Zanzibar siyo nchi wakati Sheria zozote zitakazotungwa Tanganyika hazina mamlaka Zanzibar mpaka zitakaporidhiwa na Bunge la Zanzibar?
Zanzibar siyo nchi? How?
Wewe unaijua Zanzibar kuwazidi Wazanzibar ambao kote waendako wamekuwa wakijitambilisha kuwa nchi yao ni Zanzibar?
Duh...!. Naomba kuheshimu mchango wako, huku nikielewa Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojifahamu!. Japo ukichaa uko ndani ya akili ya mtu, ila kupitia maandishi, ukisoma tuu, unaweza kujua mwandishi ni kichaa!. Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?Ni mtu MPUMBAVU,ZEZETA,TAHIRA,ZWAZWA &
MJINGA ambaye anasema Zanzibar siyo nchi,huwezi kusema Zanzibar siyo nchi kisa inakosa kitu inaitwa "SOVEREIGNTY".
Mtu ukiwa hujui kitu fulani, ni mjinga!, mtu kuwa mjinga sio kosa, kwasababu kutokujua kitu fulani sio kosa, ukiisha julishwa, ujinga unakutoka unakuwa mwerevu.
Ili nchi kuwa taifa, sio eneo, sio rais, sio bendera, sio wimbo wa taifa, nchi kuwa taifa ni kitu kinachoitwa sovereignty, dola!, Zanzibar haina sovereignty, sio dola!. Tanzania ni nchi moja ya JMT, ndio yenye sovereignty, yenye dola, yenye vyombo vya dola, yenye sarafu, Zanzibar ni jina tuu, la nchi lakini sio nchi, na rais wa Zanzibar ni rais jina tuu wa sehemu inayoitwa Zanzibar lakini kimataifa sio rais, rais ni mmoja tuu, rais wa JMT na nchi ni moja tuu, JMT, Zanzibar sio nchi ni sehemu ya JMT!.
P
Hata ardhi ni Kwa wazanzibar tuuNawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari.
Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi jirani (Zanzibar) wanapiga kura kuchagua Rais wa Tanganyika.
Jambo hilo lingekuwa na mantiki endapo nasisi Watanganyika tungeruhusiwa kushiriki kuwachagulia Rais watu wa Zanzibar. Kwakuwa hatuwaingilii kwenye uchaguzi wao, na wao wazuiliwe maramoja kutuchagulia Rais.
Acha kusifia ujinga wewe! jaribu ku' google "criterias of statehood under international law" ujue nchi inatakiwa kuwa na sifa gani.Umeongea vizuri sn, ni mjinga pekee anaweza kusema Zanzibar siyo nchi na wakati ina kila kitu chake, kwanza muungano uvunjwe haraka
Hivi wewe jamaa hizo fani zako za uandishi na uanasheria umezipata wapi mbona nakuona unabwabwaja tu kama mtu aliyetoka kuota ndoto za kutisha! Eti alaumiwe Nyerere! Wakati unajua huyo Nyerere ameshakufa lakini sio kama ameondoka na akili zetu zote.Bandiko hili ni kielelezo cha uhitaji mkubwa wa elimu ya uraia kwa Watanzania wenzetu!. Watu wenye ufahamu na hili watamuona mleta mada kama ni lijinga fulani, kumbe huu ndio uelewa wa baadhi ya Watanzania wenzetu, ni wajinga tuu kwa kutoelewa. Dawa ya mjinga ni kumuelimisha.
1. Tanzania ni nchi moja ya JMT, ina rais mmoja, rais wa JMT ambaye anachaguliwa na Watanzania wote.
2. Tanzania ina uraia mmoja tuu, uraia wa Tanzania, hivyo Watanzania wote wana haki sawa ndani ya JMT, ikiwemo haki ya kupiga kura, na haki ya kugombea.
3. Tanzania ilitokana na muungano wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar, na kuwa nchi moja yenye sehemu mbili, Tanzania bara iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Zanzibar.
4. Tanzania bara haina utawala wake wa ndani, hivyo rais wa JMT ndie rais wa nchi anayechaguliwa na wote, lakini Zanzibar inao utawala wake wa ndani, seclusion, na rais wake, rais wa Zanzibar ambapo ni Wanzanzibari wakaazi pekee ndio wenye haki ya kuchamchagua rais wa Zanzibar.
5. Baada ya muungano wetu adhimu, Tanganyika ilikufa na kugeuka Tanzania, ila Zanzibar iliendelea kubaki sio kama nchi bali ilibaki kama sehemu ya JMT inayojitegemea.
Hivyo Wanzanzibari wote ni Watanzania na wana haki zote za kumchagua rais wa JMT ila wenye haki ya kumchagua rais wa Zanzibar ni Wazanzibari pekee!.
P
Nyerere sio Mungu kwamba alichokileta yeye hata kama hakitufai tuendelee kuking'ang'ania ,muungano kwa ufupi haufai na ipo sku utavunjika sio kwa serikali hiiHakuna serikali ya Tanganyika wala Raisi wa Tanganyika, Ashukuriwe au alaumiwe Nyerere. Wazanzibari wana haki ya kumchagua Raisi wa Tanzania, kwa sababu nao ni sehemu ya Tanzania.
Acha kupotosha watu wewe yule Mwinyi wa Zanzibar ni mbunge au rais ? Kama Zanzibar ni sehem ya Tz kuna nchi ina marais 2? Huu ni upuuz na huu ni muungano wa hovyo haijawahi kutokeaBandiko hili ni kielelezo cha uhitaji mkubwa wa elimu ya uraia kwa Watanzania wenzetu!. Watu wenye ufahamu na hili watamuona mleta mada kama ni lijinga fulani, kumbe huu ndio uelewa wa baadhi ya Watanzania wenzetu, ni wajinga tuu kwa kutoelewa. Dawa ya mjinga ni kumuelimisha.
1. Tanzania ni nchi moja ya JMT, ina rais mmoja, rais wa JMT ambaye anachaguliwa na Watanzania wote.
2. Tanzania ina uraia mmoja tuu, uraia wa Tanzania, hivyo Watanzania wote wana haki sawa ndani ya JMT, ikiwemo haki ya kupiga kura, na haki ya kugombea.
3. Tanzania ilitokana na muungano wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar, na kuwa nchi moja yenye sehemu mbili, Tanzania bara iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Zanzibar.
4. Tanzania bara haina utawala wake wa ndani, hivyo rais wa JMT ndie rais wa nchi anayechaguliwa na wote, lakini Zanzibar inao utawala wake wa ndani, seclusion, na rais wake, rais wa Zanzibar ambapo ni Wanzanzibari wakaazi pekee ndio wenye haki ya kuchamchagua rais wa Zanzibar.
5. Baada ya muungano wetu adhimu, Tanganyika ilikufa na kugeuka Tanzania, ila Zanzibar iliendelea kubaki sio kama nchi bali ilibaki kama sehemu ya JMT inayojitegemea.
Hivyo Wanzanzibari wote ni Watanzania na wana haki zote za kumchagua rais wa JMT ila wenye haki ya kumchagua rais wa Zanzibar ni Wazanzibari pekee!.
P
Kaka elimu ya uraia kwa kiwango kikubwa huwa inapatikana shuleni katika level tofauti, napata mashaka kidogo na hawa wadau kama ni Watanzania wenzetu, kwa kuwasaidia nimewaambia watafute 'criterias of statehood under internatioanal law' itawasaidia!Bandiko hili ni kielelezo cha uhitaji mkubwa wa elimu ya uraia kwa Watanzania wenzetu!. Watu wenye ufahamu na hili watamuona mleta mada kama ni lijinga fulani, kumbe huu ndio uelewa wa baadhi ya Watanzania wenzetu, ni wajinga tuu kwa kutoelewa. Dawa ya mjinga ni kumuelimisha.
1. Tanzania ni nchi moja ya JMT, ina rais mmoja, rais wa JMT ambaye anachaguliwa na Watanzania wote.
2. Tanzania ina uraia mmoja tuu, uraia wa Tanzania, hivyo Watanzania wote wana haki sawa ndani ya JMT, ikiwemo haki ya kupiga kura, na haki ya kugombea.
3. Tanzania ilitokana na muungano wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar, na kuwa nchi moja yenye sehemu mbili, Tanzania bara iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Zanzibar.
4. Tanzania bara haina utawala wake wa ndani, hivyo rais wa JMT ndie rais wa nchi anayechaguliwa na wote, lakini Zanzibar inao utawala wake wa ndani, seclusion, na rais wake, rais wa Zanzibar ambapo ni Wanzanzibari wakaazi pekee ndio wenye haki ya kuchamchagua rais wa Zanzibar.
5. Baada ya muungano wetu adhimu, Tanganyika ilikufa na kugeuka Tanzania, ila Zanzibar iliendelea kubaki sio kama nchi bali ilibaki kama sehemu ya JMT inayojitegemea.
Hivyo Wanzanzibari wote ni Watanzania na wana haki zote za kumchagua rais wa JMT ila wenye haki ya kumchagua rais wa Zanzibar ni Wazanzibari pekee!.
P
Tutauvunja huu muungano tutakapowatoa hawa wanyonyaji na mafisadi yanayotutawalaMwalimu alitukosea sana kutuunganisha na Zanzibar badala ya nchi za maana kama Kenya au Uganda