Raia wa Zanzibar wapigwe marufuku kupiga kura ya kumchagua Rais wa Tanganyika

Mkuu mbona inakuwa mkali!.mleta MADA anahitaji umtajie faida ya muungano.

Maswala ya kuungana anajua historia yake.Faida yake nn.
Zanzibar Bado ni Nchi yenye Serikali mfumo mzima wa kiongozi wanao.Why Serikali ya Tanganyika ife,irihali JMT ni muungano wa Nchi mbili?.
Nchi ya Kwanza ni Zanzibar,na Nchi ya Pili ni ipi Kwa Sasa?.

Mzanzibari ana haki bara,ila wa bara hana haki Zanzibar,mbona nnajizima DATA wakubwa,mnakuwa na kigugumizi Cha Nini hasa.

Au Zanzibar kivingine no Koloni letu ama!.
Hapo ntaitwa mchochezi,ila kiukweli Mtanganyika Yuko wapi maana Mzanzibari yupo.Watanzania pia wapo.
Tupeni faida Kwanza,afu elimu ya uraia Kwa sisi wajinga itafata.
 
Muungano wa ajabu sana huu
 


Nakuheshimu sana Pascal Mayalla

Jibu Hoja ya Mleta Hoja!

Naelewa Tanzania ni Muunganiko wa zilizokuwa nchi mbili (Tanganyika & Zanzibar)

1.Mleta Hoja kauliza ni Kwanini Tanganyika haturuhusiwi kumchagua Rais wetu wa Tanganyika ilihali wazanzibar wao wanampigia Kura na kumchagua Rais wao pia wanamchagua na kumpigia Kura Rais wa Jamhuri ya Muungano.

2.Kama nchi hizi mbili ziliungana na ikapatikana Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ni kwanini Zanzibar ina rais wake na Tanganyika haina Rais wake?

Sasa usije na hoja mfu na kuniambia eti, "Rais wa Jamhuri ndo huyo huyo wa Tanganyika"
 
Mzee ni muda sasa wa wewe kupumzika na kula pensheni yako taratibu.
Usituletee tafsiri zenu za kwenye maandiko.
Tuache tutafsiri uhalisia.
Tunatafsiri tunacho kiona na kukiishi.
ZANZIBARI ipo hai.
TANGANYIKA imemezwa na jina TANZANIA.
Zanzibari wanapata haki nyingi tofauti na watanzania wengine.
Kwenye mambo yenye faida kwao nao hujiita WATANZANIA na hili hutokea mara chache sana MZANZIBARI kujiita MTANZANIA.
Nyie vizee mna shida, kujiona mnaweza kudanganya watu vizazi na vizazi.
Vijana wanafikiri yale wanayoyaishi, kipindi nyie wenye mitumbo mikubwa mnafikiri yale yaliyoandikwa.
Kilichoandikwa kama kipo tofauti na uhalisia hapo kuna shida.
 
Wewe unafikiri mleta mada hayafahamu haya yote uliyoandika?
 
Well said 👏👏👏
 
Hii ndio shida ya wanaojiita WASOMI kwenye nchi nyingi za kiafrika.
Unatuletea tafsiri za kimataifa, wakati sisi tunahitaji tafsiri za tunachokiona na kukishuhudia.
Tukikuita wewe ndio mjinga, litakuwa kosa?
 
Umeanza konyagi asubuhi hivi mkuu
 
Kumbuka hao wapo sababu ya ccm.

so bila kutoa ccm na Kiongozi mkuu ni wahuko huamini kama unapaka rangi upepo?
 
we bwege hiyo Tanganyika umeijulia wapi, nani aliipa hilo jina. Fanyeni kazi acheni mambo ya kipuuzi nchi yetu ni Tanzania, mpaka unakufa hutakaa uipate hiyo nchi yako ya kufikirika
Kwenye bandiko langu umeona nikiitaja Tanganyika kama nchi?
Nahitaji TANZANIA yenye umoja wa kweli,
Kabla sijasahau BWEGE bibi yako!
 
katika huu Muungano ilitakiwa Tanganyika iwe na katiba na utawala wake hali kadhalika nayo Zanzibar.

Rais awe ni mmoja tu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ila Tanganyika na Zanzibar zinaweza kuwa na viongozi wao wakuu lkn si ma Rais.
Hakuna hata haja ya Tanganyika na Zanzibar kuwa na viongozi wake wakuu, vitu viwili vikiungana kinazaliwa kitu kimoja kikubwa nacho ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Rais mmoja wa Tanzania na makamu ambao watapatikana kwa utaratibu ulipo sasa.

Kwani Zanzibar ingefanywa kama mkoa kama ilivyo DSM, isingetawalika?
 
Kwa kuongezea tu, Zanzibar ina Rais wake, Jeshi lake, mkuu wa majeshi yake na Amiri Jeshi Mkuu wake.
 
Kuwa na kila kitu chake hakuifanyi kuwa nchi, kitu pekee kinachoifanya nchi kuwa nchi ni kitu kinachoitwa sovereignty!, Zanzibar haina sovereignty, hivyo sio nchi!.
Hata uwe na kila kitu, kama hauna sovereignty, you are nothing!.
P
Kivipi wakati ina mpaka Jeshi lake na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yake?
 
Kwa kawaida migambo TANZANIA wanamiliki virungu.
Pia migambo TANZANIA wana jezi zao.
Hao migambo wa Zanzibar wapo hivyo?
Kuna mfanano wowote kuanzia mavazi hadi siraha kati ya mgambo wa huku bara na hao wazanzibari?
 
Hili siyo Jeshi?

Labda uniambie unawasilisha ujumbe wako kwa "code", vinginevyo utaonekana kituko kusema Zanzibar haina Jeshi wakati iko wazi kabisa kuwa Zanzibar ina Jeshi lake na mkuu wake wa majeshi na Amiri Jeshi Mkuu.
 

Attachments

  • Mkuu_wa_JKU_awapandisha_vyeo_wapiganaji_wa_Jeshi_la_Kujenga_Uchumi_katika_ngazi_mbalimbali(144p).mp4
    22.4 MB
  • RAIS_MWINYI_AWAPANDISHA_VYEO_MAAFISA_WA_NGAZI_YA_JUU_WA_JKU_KANAL_DAIMA_AWAVALISHA_KWA_NIABA_Y...mp4
    2.7 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…