Kenya 2022 Raila Odinga akataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa Rais
Kenya 2022 General Election
Hapo vip!!

Raila Odinga amesema Chabukati ambaye ni mwenyekiti wa IEBC ni Dictator kwenye Tume.

Ila Binafsi nimshauri Raila ya kwamba Ruto ni chaguo la Mungu na Wakenya hatakaa amshinde kamwe
 
Kwahiyo huenda Ruto asiapishwe mpaka Kura zirudiwe kuhesabiwa?!
 
Baba yake Raila alishamtabiria mwanaye yakwamba hatokuja awe Rais wa Kenya.
 

Attachments

  • IMG-20220816-WA0010.jpg
    IMG-20220816-WA0010.jpg
    86.6 KB · Views: 5
Hapo vip!!
Raila Odinga amesema Chabukati ambaye no mwenyekiti was IEBC ni Dictator kwenye Tume.

Ila Binafsi nimshauri Raila yakwamba Ruto ni chagua la Mungu na Wakenya hatakaa mshinde kamwe
Ruto chaguo la Mungu? Miaka 10 akiwa na Kenyatta wamefanya nini zaidi ya ufisadi tu? Huyo Gachagua so alikutwa na hatia kwa ufisadi wa Mabilion ya Nairobi county?

Tusipende kukurupuka, Kama Odinga hafai haimaanishi Ruto ndio right choice!! Tutarudi hapa baada ya mwaka kufufua hizi nyuzi.
 
Hujajibu swali

Kwani katiba imeweka kiwango cha miaka ya mtu kugombea Uraisi huko Kenya?
swala lililopo kashindwa uchaguzi, kwa mtu wa umri wake ni busara zaidi kumwachia kijana majukumu.
 
Huyu mzee apumzike tu ampishe kijana Ruto, miaka themanini unakuwa unatafuta nini.......dah!
Kenyatta si mlisema ni Rais kijana na Hendsamu.... Leo mbona mnajuta kumchagua!! Ruto naye mtarudi kulia Lia hapa baada ya ufisadi kutawala kote.

RAILA akomae uchaguzi urudiwe, ila fisadi asiachiwe ikulu.
 
Hapo vip!!
Raila Odinga amesema Chabukati ambaye no mwenyekiti was IEBC ni Dictator kwenye Tume.

Ila Binafsi nimshauri Raila yakwamba Ruto ni chagua la Mungu na Wakenya hatakaa mshinde kamwe
Source ya habari yako ni IPI,au umeamu tu kupost?
 
Back
Top Bottom