Kenya 2022 Raila Odinga akataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa Rais
Kenya 2022 General Election
Kwahiyo huenda Ruto asiapishwe mpaka Kura zirudiwe kuhesabiwa?!
Raila anaenda mahakamani. Na ndani ya wiki mbili hukumu itakuwa tayari. Ukijumlisha matokeo ya jana kwa % imezidi 0.01%
Ambayo ninzaidi ya kura laki moja
 
Hii haikutakiwa hata kuwa Habari, ni kawaida yake kila baada ya miaka mitano analeta fujo
 
Basi komaa na katiba yako, uamuzi uliopo kwa sasa ni wa tume ya Chebukati......labda kama yeye anayo tume yake.
Mbona unabadilka badilika kila wakati. Ustaarabu uliopo ni kuwa mtu yeyote anayo haki ya kugombea Uraisi, Pia Kama hakuridhika Na matokeo katiba Na sheria Za uchaguzi zinamruhusu kupeleka malalamiko yake mahakamani. Wewe unataka kurudisha watu nyuma Na siasa Za Nyerere Na CCM yake. Hivi ni vitu viwili tofauti
 
Raila anaenda mahakamani. Na ndani ya wiki mbili hukumu itakuwa tayari. Ukijumlisha matokeo ya jana kwa % imezidi 0.01%
Ambayo ninzaidi ya kura laki moja
Hiyo error ya 0.01% wanayoiongelea ni due to approximating error ya kuweka viwango viwili vya desimali, ilaukiweka matokeo interms of viwango kuanzia 5 kuendelea hiyo error inapungua au kuisha kabisa
 
Raila anaenda mahakamani. Na ndani ya wiki mbili hukumu itakuwa tayari. Ukijumlisha matokeo ya jana kwa % imezidi 0.01%
Ambayo ninzaidi ya kura laki moja
Sio kwamba Ruto kaamua kufuata ule usemi wa Mzee Kikwete "za kuhesabiwa ongezea na za kwako Mbayuwayu au Rutowayu" 😂🤣 jocking!
 
Mbona unabadilka badilika kila wakati. Ustaarabu uliopo ni kuwa mtu yeyote anayo haki ya kugombea Uraisi, Pia Kama hakuridhika Na matokeo katiba Na sheria Za uchaguzi zinamruhusu kupeleka malalamiko yake mahakamani. Wewe unataka kurudisha watu nyuma Na siasa Za Nyerere Na CCM yake. Hivi ni vitu viwili tofauti
Sawa, aende kwa korti maana ndo imekuwa kawaida yake sasa...
 
Hivi kenya ndio wana wabunge au magavana, uchaguzi huo nani kashinda viti vingi?
 
Rud
Gape la laki moja ndio kushindwa? Ruto mwenyewe kakiri hakuna aliyeshindwa uchaguzi maana margin ni ndogo sana ingekua gape kuanzia laki 5 ange concede ila kura laki zinaweza kupikiwa tu hata na Chebukati.
Rud kaangalie data Ile ni lak Moja ile
 
Raila anaenda mahakamani. Na ndani ya wiki mbili hukumu itakuwa tayari. Ukijumlisha matokeo ya jana kwa % imezidi 0.01%
Ambayo ninzaidi ya kura laki moja
Kasome hesabu. 0.01*14213027(kura zote)/100 utapta laki Moja????
Unawasikiliza wale kamishanas hata hesabu hawajau, hakuna Kitu hakina margin of error, muhimu ni kujua Hyo error Ina impact yoyote.
 
Rud

Rud kaangalie data Ile ni lak Moja ile
Whatever hata ikiwa laki 2 but gape ya laki 2 kwenye million 14 ndio Odinga "Kaanguka" Huyo Ruto kafika 50+1 kwa kura 0.6 percent pekee then mnakuja kuleta ushabiki hapa!!
 
Raila babu akapumzike tu na wajukuu, aache kelele, IEBC ndio ina final decision, Raila ni loser of all the time in Kenyan politics.. Pole sana Hon. Raila, there is nothing you can do..
 
Kasome hesabu. 0.01*14213027(kura zote)/100 utapta laki Moja????
Unawasikiliza wale kamishanas hata hesabu hawajau, hakuna Kitu hakina margin of error, muhimu ni kujua Hyo error Ina impact yoyote.
Vipi verification ya 34 B kutoka majimbo 26 yaliyokua yamesalia ilimalizwa na kutangazwa?

Huwezi sema 100.1% ni margin of error!! Hiyo ni fraud maana it has to be 100.0 na mahakama haifuatilii margin of error yenyewe inafuata sheria so kipengele kikirukwa tu ni nullification.
 
Whatever hata ikiwa laki 2 but gape ya laki 2 kwenye million 14 ndio Odinga "Kaanguka" Huyo Ruto kafika 50+1 kwa kura 0.6 percent pekee then mnakuja kuleta ushabiki hapa!
We unaleta Nini? Kura lakimbil ni chache??? Kaangalie majimbo ya Kenya, Kuna baadhi ya kaunti nyingi tu hazijafikisha kura laki mbil Kwa ujumla wake
 
We unaleta Nini? Kura lakimbil ni chache??? Kaangalie majimbo ya Kenya, Kuna baadhi ya kaunti nyingi tu hazijafikisha kura laki mbil Kwa ujumla wake
Acha uongo Jimbo la Starehe au Embakasi tu linaleta hizo kura laki 2, simply Raila angepata 80% badala ya 70% ya Nairobi Ina maana angekua Rais. Hiyo margin sio ya kusema ni anguko ndio maana mpaka juzi hakuna aliyekua anajua Mshindi ni nani
 
Azimio Kwanza chini ya Raila
Basi kuna uwezekano raila akawa na hoja, nawajua Waafrika sisi huwa hatuchagui kiongozi tunachagua chama, sasa iweje TLP iwe na wabunge wengi halafu mshindi awe CUF
 
Back
Top Bottom