Kenya 2022 Raila Odinga akataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa Rais
Kenya 2022 General Election
Unadhani anakubali hovyo kama nyinyi wachumba wa Tz na bwana yenu CCM?

Ambae huwageuza geuzwa atakavyo!

kushoto, kulia, chini juu, Popo kanyea mbingu etc
Hata asipokubali mwisho wa siku ataongozwa kwa miaka mitano na baada ya hapo anarudi tena kugombea
 
Kenyatta si mlisema ni Rais kijana na Hendsamu.... Leo mbona mnajuta kumchagua!! Ruto naye mtarudi kulia Lia hapa baada ya ufisadi kutawala kote.

RAILA akomae uchaguzi urudiwe, ila fisadi asiachiwe ikulu.
Kwani akiongoza raila ndo itakuwaje?
 
Kwani akiongoza raila ndo itakuwaje?
RAILA ni mbabe zaidi ya JPM au Kagame same to Mama Karua ndio watanyoosha mafisadi ya Kenya. Huyo Ruto Hana moral authority ya kumaliza ufisadi maana utajiri wote kaupata akiwa Waziri na Makam wa Rais
 
Back
Top Bottom