Raila Odinga akataa matokeo na ameahidi kufikisha malalamiko Mahakama Kuu.



Waende kwanza Sunna...
 


Achana na porojo za watu wa magharibi hizo.
Watu nairobi wako na shamrashamra huku wameshika picha za mtoto wa Mama Ngina mwenyewe...

Hizo habari peleka Facebook...
 
Yaani wewe kujiita kipima pembe inawakilisha wingi,jamaa anadai ana ushahidi ata concede vipi huku nafsi yake ikimsuta? Raila haitaji heshima mtu muoga kama wewe.Potea kule.
 
Source umesema BBC? Labda kwa ndoto yako. Raila is yet to make his position known.

And you expect me to hold a gun against your head and force you to believe..as if I am being paid for it..
 
Ni mstuko tu wa matokeo atazoea kama alivyozoea Babu yetu 2010!
 


Well you said mkuu...
Dah wewe kweli unaifuatilia siasa ya Kenya.
Hayo maeneo mawili ni muhimu sana kwa wakenya
 

well said
 
Uhuru is Kenyan's choice. Raila must respect his oath to avoid further political blood shed.
 
Huyo Jaluo akubali kushindwa tu na ajaribu 2017 tena

...atakuwa na miaka 73 wakati huo, kama ameshindwa 2007 na 2013 wakati akiwa kwenye peak sioni uwezekano wa kufanikiwa 2017...
 
Achana na porojo za watu wa magharibi hizo.
Watu nairobi wako na shamrashamra huku wameshika picha za mtoto wa Mama Ngina mwenyewe...

Hizo habari peleka Facebook...

Ni Rais gani anaeingia mkataba wa maandishi na baadae kuukana kwa kisingizio cha ushawishi wa Shetani......
Ni Rais gani anae tuhumiwa kwa makosa ya jinai dhidi ya bin-Adam wenzie na kusimamishwa kizimbani......
Ni Rais gani anae miliki ardhi yenye rutuba sawa na nusu ya nchi anayoitawala, Huku wengine wakiishi kwenye mapango ya milima ya Ngon'g......
Huyo ni Uhuru Muigai Johnstone Kamau...
Hongereni wadau.
 


asante.
 

hiyo ni historia, he is the man, ata akikutwa na makosa at least wakikuyu na kalenjin roho zao zimeburudika
 
Raila ana haki ya kwenda Mahakaman kwa mujibu wa katiba ya kenya,Msingi wake mkubwa nikwamba kama mfumo wa electronic ulishindwa kufanya kazi,tume haikutoa sbb zalizousibu mfumo huo.pili maamuzi ya kuhesabu manual yalitakiwa yaanze upya kwa kutumia vituo vya mashinan na sio centre za kufanyia majumuisho ya kata.kwa kua huko ndio kuna idadi halisi ya matokeo ambayo wawakilishi (Mawakala)wa vyama vyote walisain form za matokeo ya kituo.tume na upande wa Uhuru ulilikataa pendekezo hilo na ndio sababu kumekua na Ongezeko la idadi ya wapiga kura.
 
hiyo ni historia, he is the man, ata akikutwa na makosa at least wakikuyu na kalenjin roho zao zimeburudika

subiri siku itajulikana Ruto aliwashawishi wakalenjing wenzake wawachome moto wakikuyu waliojifungia kanisani wakati wa vurugu karibu na eldoret na uhuru aliwashawishi wakikuyu wenzake kuwaua na kuwatimua wakalenjing central...ndiyo utajua roho zimetulia au zinalipuka
 
sidhani denial inamsumbua. Ameibiwa kura na wana evidence. Wait and see
 
...atakuwa na miaka 73 wakati huo, kama ameshindwa 2007 na 2013 wakati akiwa kwenye peak sioni uwezekano wa kufanikiwa 2017...


Hata Michael Sata wa Zambia alishindwa mara kadhaa lakini leo ni rahisi. Anything can happen provided he is still alive!!
 
Hivi wanaposema apate kura 50%+1. hyo Plus one ina maana gani?

Ashinde 50% na kura 1 nakuendelea. Umenipata? Mf. Wapiga kura kama wapo 100, mshindi atatakiwa apate kura za watu hao kuanzia watu 50 nakuendelea. Wakiwa hamsini kamili kati ya 100 atakuwa hajashinda.
 
sidhani denial inamsumbua. Ameibiwa kura na wana evidence. Wait and see

Mkuu wa Serikali ataibiwaje kura? Na nani kamuibia? wakati kila kitu kiko chini yake, Serikali yote inaripoti kwake,anaweza kumfukuza kazi mtu yoyote Kenya akishauriana na Bw.Kibaki, sasa ataibiwaje kura? yeye ndio anapaswa kuulizwa kwanini kura ziibiwe wakati anapaswa kuhakikisha kuwa haziibiwi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…