Raila Odinga akataa matokeo na ameahidi kufikisha malalamiko Mahakama Kuu.

Mzee R. Odinga angekubali tu kiungwana kuwa ameshindwa na yupo teyari kufanya kaz na Kenyatta, na hii ndo changamoto ya demokrasia kwamba wengi wape ila haiangalii wengi hao ni kina nani!
 
Hapo wanaongea wamarekani na waingereza si yeye jamani, mumsamehe bure mzee wa watu, like father like son, Uraisi atausikia kwenye Radio tu...jamani huruma....
 

kama ni wewe umetafsiri umeingia chaka...na kama ni yeye katafsiri kaingia chaka...ujumbe wa matini chanzi na lengwa ni tofauti ingawa unakaribia kufanana
 
The agony of defeat.....

I have come to a conclusion that Raila Odinga is not a Presidential Material at all. I was expecting him to concede defeat, but he has done the opposite, he want to go to Court. However, he has requested his supporters to be calm and maintain peace. One would wonder how can he distrust IEBC, the commission he participated to form?

Tiba
 
kama ni wewe umetafsiri umeingia chaka...na kama ni yeye katafsiri kaingia chaka...ujumbe wa matini chanzi na lengwa ni tofauti ingawa unakaribia kufanana

Nimesikiliza hotuba pia, ni yeye Odinga kasema hayo in Swahili.

Anyways, ataingia Mahakamani kutafuta Sheria imsaidie.
 
Am happy he has proved his dady's Novel NOT YET UHURU and the election outcome has revealed that in Kenya Not yet Uhuru since DEMOCRACY IS ON TRIAL.
 


Thanks kwa break down ya hotuba ya Mheshimiwa Raila Odinga.
 
alisababisha fujo 2007 raia wasio na hatia wakafa.akaonjeshwa keki na kibaki hakuikataa akala na huku jamii kubwa wamekufa.this time akae kando wakenya si wapuuzi ka yeye.ameshindwa mbaya hana jipya.saa hii awe mtazamaji tu.
 
I expected this and let us see what the Supreme Court will do.
 
Nimempenda kwa kusisitizia mashabiki wake waendeleze amani na utulivu-kwenda mahakamani nadhani ni haki yake kwa sababu katiba inamruhusu, cha kuomba ni akubali maamuzi ya mahakama!!
 
Nimesikiliza hotuba pia, ni yeye Odinga kasema hayo in Swahili.

Anyways, ataingia Mahakamani kutafuta Sheria imsaidie.

duuh...basi sio bilingual mzuri,yaani ni vitu tofauti ila on top of all mi namsubiria mahakamani tujue mbivu na mbichi
 
Mwacheni bwana aende ndo maana katiba imeruhusu kama ushaidi upo itareveal na kama hamna Uhuru atalead ..sioni iko shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…