ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Nimempenda kwa kusisitizia mashabiki wake waendeleze amani na utulivu-kwenda mahakamani nadhani ni haki yake kwa sababu katiba inamruhusu, cha kuomba ni akubali maamuzi ya mahakama!!
Mbuzi Mzee uchaguzi wa kenya umekwisha nadhani sasa utapata nafasi ya kumalizia ile riwaya!
I don't think if it will work out!
kama ni wewe umetafsiri umeingia chaka...na kama ni yeye katafsiri kaingia chaka...ujumbe wa matini chanzi na lengwa ni tofauti ingawa unakaribia kufanana
Am happy he has proved his dady's Novel NOT YET UHURU and the election outcome has revealed that in Kenya Not yet Uhuru since DEMOCRACY IS ON TRIAL.
Raila akubali kushindwa.
Si ni yeye alisema engineer wao bingwa amegundua uchakachuaji wa kura kwa software, waka resort kwa hardware kama alivyoshauri napo bao la kisigino. Atulie akubali, kama Al go.
Mbuzi Mzee uchaguzi wa kenya umekwisha nadhani sasa utapata nafasi ya kumalizia ile riwaya!
Hivi ni kwanini matokeo ya urais kwa nhi za Afrika ni vigumu sana kukubalika na mgombeaji aliyeshindwa uchaguzi?
Hatutaki fujo, ghasia na uharibifu wa mali
Asanteni na Mungu Ibariki Kenya
Inawezekana kayasema haya ila kwenye summary yako ya kiingereza sikuyaona!!!!