Paukwaaa...pakawaa ilitakiwa awe wazi ni katika mambo yepi hasa
Kapambaneni na wabunge wenu waliomdharau mwenyekitiMataga watasema Odinga anatumiwa na Mabeberu
Mwambieni Odinga tatizo sio washauri. Ila tatizo jamaa hashauriki..Wanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.
WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?
Kwani yeye mbuzi jike?Kila akisikia Beberu akipiga chafya anatafuta pa kujificha.Beberu ni tishio kulikoni Corona?Shida ni kwamba hata akishauriwa hakubali yeye kila Ushauri anasema unatoka kwa mabeberu
Wanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.
WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?
hatuna muda mchafu.
Atasema ametumwa na mabeberuWanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.
WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?
Si alishasema hapangiwi wala haingiliwi, ukifanya ivyo ndio unaharibu kabisa
Hivi Sarah angesema "Raila amsifu sana Magufuli" ungehoji kama anatafuta bwana?Sarah kimani amekuwa Raila? Au anatafuta bwana Tanzania maana kenya nzala tupu
Yupo mwigu atamjibu soon,mwendo wa kupraise tu kama kinga ya utumbuzi,bahati imerudi mara mbilikweli kabisa atajibiwa soon
Wanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.
WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?
Hao wanajitambua siyo kama ninyi mazuzu wa Tanzania.Wakenya wamebanwa mbavu.. Walishaifanya nchi yetu shamba la bibi.