Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

COVID-19 ni moja ya mambo ambayo Hutu Mh.anaonekana anapuyanga kuelekea kusikojulikana na dunia nzima inamshanga anavyotu bulldozer huku tukishangilia kama mazuzu.
Paukwaaa...pakawaa ilitakiwa awe wazi ni katika mambo yepi hasa
 
Wanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.

WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?
Mwambieni Odinga tatizo sio washauri. Ila tatizo jamaa hashauriki..
Kama une calibrate mashine isome corona virus halafu una kwenda kupima utomvu wa papai una tegeme nini?
You give me shit I give you rubbish...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa
Shida ni kwamba hata akishauriwa hakubali yeye kila Ushauri anasema unatoka kwa mabeberu
Kwani yeye mbuzi jike?Kila akisikia Beberu akipiga chafya anatafuta pa kujificha.Beberu ni tishio kulikoni Corona?
 
Ni vigumu kutoa maoni wakati hujui mjadala ulimaanisha nni, zaidi ya hapo utakuwa muongo tu
 
Sarah Kimani ndio Raila Odinga kumbe?
 
Baada ya Raila kufanya HANDSHAKE na Kenyarta amemgeuka rafiki yake .
 
Wanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.

WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?

Na hakuna Kitu kibaya duniani kama ukikuta Akili za Mshauri na Mshauriwa zote ni za hovyo hovyo tupu hapo ndiyo balaa mno.
 
Wanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.

WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?
Atasema ametumwa na mabeberu
 
sio hashauriwi vzr....huyu ni mshamba limbukeni na jeuri kiburi at the same time. Alishasema ukimshauri ndo uharibu kila kitu kifupi hashauliki.....
Ndio maana kwenye suala la korosho badaya ya kufuata economic principles mfano negotiations yeye anatuma jeshi ishu imebuma mpaka leo yuko kimya....huu ni ushamba wa madaraka
Ndio maana kwenye suala la vita ya corona badala ya kuita na kufanya kikao na wataalamu wa afya yeye anaiita vyombo vya ulinzi kuongea navyo na kuvipa maagizo huu ni zaidi ya ushetani.....
 
Sarah kimani amekuwa Raila? Au anatafuta bwana Tanzania maana kenya nzala tupu
Hivi Sarah angesema "Raila amsifu sana Magufuli" ungehoji kama anatafuta bwana?
Kama moyoni mwako kunakuambia jibu ni ndio basi wewe ni mtu making sana. Lakini kama jibu lako litakuwa hapana na kwamba usingeandika hivyo basi wewe ni mnafiki, mzandiki na bonge la fala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye corona nipo na magufuli
Wanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.

WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?
Screenshot_20200506-175419.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya haijawahi kuitakia mema bongo kwasasa Kenya hawalali kwa kuzidiwa akili na intelijensia na uchumi na Mh Rais Dkt Magufuli, huyu Odinga amshauri Rais mambo binafsi si kuendesha nchi mbona mwaka jana 2019 Odinga hakumshauri Mahuguli wakati Tanzania iliipita Kenya ilikuza uchumi 6.8 dhidi ya Kenya 5.6!!! Kenya wanatapatapa!Ingependeza huo ushauri aampe Rais Uhuru!

Tanzania GDP Annual Growth Rate | 2002-2019 Data | 2020-2022 Forecast | Calendar

Kenya GDP Annual Growth Rate | 2004-2019 Data | 2020-2022 Forecast | Calendar
 
Back
Top Bottom