KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Kamanda kapaniki baada ya kuona lockdown sio muafaka wa kukabiliana na Corona hata mataifa makubwa yameona lockdown ni tatizo kuliko CoronaHii mbona ya zamani!
Hiyo tweet ya Odinga iko wapi??
Wanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.
WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?
Kwa nini wakenya wanawashwa sana na mambo ya nchi yetu? Umewahi sikia kiongozi yetu yoyote hata wa upinzani akitaja hata jina la Kenya? Mwambie ajali nchi yake hana chochote kwetu, kazi ya kucheka suruali ya aliyemwagiwa maji wakati yeye kajinyea?Wanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.
WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?
Kwa nini wakenya wanawashwa sana na mambo ya nchi yetu? Umewahi sikia kiongozi yetu yoyote hata wa upinzani akitaja hata jina la Kenya? Mwambie ajali nchi yake hana chochote kwetu, kazi ya kucheka suruali ya aliyemwagiwa maji wakati yeye kajinyea?Tanzania Leaders ni watu wajuaji sana, ata watu waliposema Tz ni nchi maskini walisema Tanzania si maskini na wana rasilimali za kutosha hivyo karibuni wataanza kuzipatia misaada nchi za ulaya/western countries.
Kwa nini wakenya wanawashwa sana na mambo ya nchi yetu? Umewahi sikia kiongozi yetu yoyote hata wa upinzani akitaja hata jina la Kenya? Mwambie ajali nchi yake hana chochote kwetu, kazi ya kucheka suruali ya aliyemwagiwa maji wakati yeye kajinyea?
Kwani yanawahusu nini siye kukosa sukari, umbeya na mwasho matakoni tu kuisema TZ kila siku, kwani siye tunaingilia mnapouwana kwa ajili ya mtu mmoja awe juu yenu wote na kula bora zaidi kama wapumbavu fulani. Acheni ujinga na umbeya, jali ya kwenu yanayowashinda, jali vurugu zenu za kisiasa za kipumbavu na kinyama, ulichoongea ni upumbavu tu, hata kiswahili chenyewe hujui. Watumwa wa akili wanaotumia lugha ya wakoloni ambayo hawaijui sawasawa wala lugha yao wenyewe hawana wala kuijua sawasawa.Maana yake ni kwamba Tanzania ni nchi jirani ya Kenya mkiendelea kuleta mnazoleta mtafungiwa mipaka alafu ngombe zenu mtaenda kuuzia wapi?? Zambia naskia tayari, Jengne ni kama tahadhari mnapewa kwa manufaa ya nchi yenu WHO wameshaanza kukunyosheeni vidole wenzenu wanapiga hela za misaada nyinyi ndio kwanza mnapapatua kilo ya sukari hamjui mtaipata wapi, Nafkiri kichwa chako kimeanza kupata mwanga.
Kwani yanawahusu nini siye kukosa sukari, umbeya na mwasho matakoni tu kuisema TZ kila siku, kwani siye tunaingilia mnapouwana kwa ajili ya mtu mmoja awe juu yenu wote na kula bora zaidi kama wapumbavu fulani. Acheni ujinga na umbeya, jali ya kwenu yanayowashinda, jali vurugu zenu za kisiasa za kipumbavu na kinyama, ulichoongea ni upumbavu tu, hata kiswahili chenyewe hujui. Watumwa wa akili wanaotumia lugha ya wakoloni ambayo hawaijui sawasawa wala lugha yao wenyewe hawana wala kuijua sawasawa.
Kwan Nani aliyekuambia lockdown itakaa milele acha uzwazwa, lockdown imewekwa kwa mda tuKamanda kapaniki baada ya kuona lockdown sio muafaka wa kukabiliana na Corona hata mataifa makubwa yameona lockdown ni tatizo kuliko Corona
May 10 2020 ni zaman kumbeHii mbona ya zamani!
Zile Tsh. Trilioni 425 za makinikia mlishapewa?Magufuli hajawahi kushindwa
Hata wakati wa suala la Acacia alibezwa sana,lakini alishikilia uzi hatemaye Acacia ikapotea kwenye uso wa dunia
Raila kwani ndie aliemshauri Kenyatta awapige bakora raia mpaka wengine kuuwawa?
Acha kushikiliwa akili kamanda. Lockdown iliwekwa kwa lengo LA kupunguza au kumaliza kabisa kabisa Corona ndio maana unaona marekani inaenda wiki ya 7 kwa lockdown hivyo wameamua wenyewe kuondoa lockdown sasa wewe pamoja na wenzako mnadanganya watu kwamba lockdown ya wiki mbili ni muafakaKwan Nani aliyekuambia lockdown itakaa milele acha uzwazwa, lockdown imewekwa kwa mda tu
Narudia Tena lockdown ni kwa mda na sio milele, mbona uongelei china waliokua na lockdown na Sasa wameondoa, na marekani mamlaka za kuondoa lockdown ziko kwa ma-governor na sio rais ndo maana Jimbo la Texas na Georgia wameshaondoa lockdownAcha kushikiliwa akili kamanda. Lockdown iliwekwa kwa lengo LA kupunguza au kumaliza kabisa kabisa Corona ndio maana unaona marekani inaenda wiki ya 7 kwa lockdown hivyo wameamua wenyewe kuondoa lockdown sasa wewe pamoja na wenzako mnadanganya watu kwamba lockdown ya wiki mbili ni muafaka