Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

Wanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.

WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?

Tanzania Leaders ni watu wajuaji sana, ata watu waliposema Tz ni nchi maskini walisema Tanzania si maskini na wana rasilimali za kutosha hivyo karibuni wataanza kuzipatia misaada nchi za ulaya/western countries.
 
Kwa nini wakenya wanawashwa sana na mambo ya nchi yetu? Umewahi sikia kiongozi yetu yoyote hata wa upinzani akitaja hata jina la Kenya? Mwambie ajali nchi yake hana chochote kwetu, kazi ya kucheka suruali ya aliyemwagiwa maji wakati yeye kajinyea?
 
Maana yake ni kwamba Tanzania ni nchi jirani ya Kenya mkiendelea kuleta mnazoleta mtafungiwa mipaka alafu ngombe zenu mtaenda kuuzia wapi?? Zambia naskia tayari, Jengne ni kama tahadhari mnapewa kwa manufaa ya nchi yenu WHO wameshaanza kukunyosheeni vidole wenzenu wanapiga hela za misaada nyinyi ndio kwanza mnapapatua kilo ya sukari hamjui mtaipata wapi, Nafkiri kichwa chako kimeanza kupata mwanga.
 
Kwani yanawahusu nini siye kukosa sukari, umbeya na mwasho matakoni tu kuisema TZ kila siku, kwani siye tunaingilia mnapouwana kwa ajili ya mtu mmoja awe juu yenu wote na kula bora zaidi kama wapumbavu fulani. Acheni ujinga na umbeya, jali ya kwenu yanayowashinda, jali vurugu zenu za kisiasa za kipumbavu na kinyama, ulichoongea ni upumbavu tu, hata kiswahili chenyewe hujui. Watumwa wa akili wanaotumia lugha ya wakoloni ambayo hawaijui sawasawa wala lugha yao wenyewe hawana wala kuijua sawasawa.
 
Kenya mtaipata wapi shughulikieni shilingi yenu kwanza inashuka kila siku, elfu 7000/= zako kwa mwezi unazopata kuipigania nchi yako halafu zinakufanya uwe mtumwa ndani yako utaendelea kuvumilia mpaka lini? hatujiskii raha kuongea kiswahili vizuri bila ya hela mfukoni., endelea kujifukiza au kunywa miti shamba itakugarimu maisha yako.
 
Jamani mimi nilivyomwona magufuli naongea kwenye hotuba yake ya mwisho ya mapapai sijui.Hakuwa sawa kimwonekano kama yuko stressed tunatakiwa tumsupport jamani kipindi hiki sio mchezo hata na mimi nimeanza kupata imani kuongoza hii nchi kipindi hiki na kijacho kunaitaji moyo mkubwa kwani hata tungekuwa lockdown au tusiwe lockdown it doesn't make any difference kwa kuwa uchumi wote duniani umeanza ku collapse .Lockdown ya mambo yasiyo yamsingi yangewezekana kama kuto allow mikusanyiko isiyo na watu wengi na isiyo ya lazima isiyo na tija kubwa.Na hata kama usipoweka lockdown, kutakuwa na slowdown
 
Magufuli hajawahi kushindwa
Hata wakati wa suala la Acacia alibezwa sana,lakini alishikilia uzi hatemaye Acacia ikapotea kwenye uso wa dunia
Raila kwani ndie aliemshauri Kenyatta awapige bakora raia mpaka wengine kuuwawa?
Zile Tsh. Trilioni 425 za makinikia mlishapewa?
 
Kwan Nani aliyekuambia lockdown itakaa milele acha uzwazwa, lockdown imewekwa kwa mda tu
Acha kushikiliwa akili kamanda. Lockdown iliwekwa kwa lengo LA kupunguza au kumaliza kabisa kabisa Corona ndio maana unaona marekani inaenda wiki ya 7 kwa lockdown hivyo wameamua wenyewe kuondoa lockdown sasa wewe pamoja na wenzako mnadanganya watu kwamba lockdown ya wiki mbili ni muafaka
 
Narudia Tena lockdown ni kwa mda na sio milele, mbona uongelei china waliokua na lockdown na Sasa wameondoa, na marekani mamlaka za kuondoa lockdown ziko kwa ma-governor na sio rais ndo maana Jimbo la Texas na Georgia wameshaondoa lockdown
 
Aje sasa yule PLO Lumumba na zile porojo zake za nanihii of Africa.

Au mtatuambia naye alikuwa anawashwa?
 
Back
Top Bottom