Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

Nyie pigeni kelele tu lakini ipo siku inakuja. Watanzania sio wajinga.
 
Vipi huko kwake Kenya ushauri wake mzuri umesaidiaje, hakuna maambukizi au?
 
Yeye mwenyewe anajua kuwa ushauri anaopewa ni mbovu ndio maana yuko chimbo mpaka leo na akiulizwa anarudi lini mjini anakuwa mkali na kutoa majibu mepesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…