Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Nimeona kitu kinachoitwa uhuru wa kidemokrasia kwa nchi za Afrika ni ujinga mtupu! Kwa hali ilivyo hapo Kenya kwa Sasa sio uhuru ni ujinga na ni ulofa wa kisiasa. Maandamano yale anayofanya Odinga na kuwashawishi watu wapindue Serikali sio ya kuyafumbia macho hata kidogo!
Kama katiba ya Kenya ndio inaruhusu ujinga huu basi hiyo ni katiba mbovu kuliko zote duniani. Watu wanamtukana matusi ya nguoni usiku kucha mchana kutwa. Nao ni uhuru wa kidemokrasia kama si uhaini ni nini?
Rais Ruto akiendeleza upole na ulokole kwenye hii ujinga ya Raila atapelekeshwa sana. Anapaswa Sasa kutumia Magufuli style! Hao wanatakiwa wazuiwe hata kukohoa, Wanatakiwa wajifunze duniani kote uchaguzi ukiisha malalamiko ni mahakamani sio kwenda kuzuia shughuli za maendeleo mitaani kwa maandamano ya ovyo kama yale.