Hoffenheim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,077
- 2,505
Ni kweli. Kenya ndiyo namba moja kwa EAST AFRICA.wanajisifia wana katiba nzuri
Unamkumbuka Raila Odinga? Alijiapisha tena na polisi walikuwepo wanamlinda. Alifika wapi?
Mtu hana hata wembe mfukoni unaanzaje kumuendea na magari ya kuwasha washa na bunduki wakati una jeshi, polisi na viongozi. Utakuwa kichaa kuhangaika na mtu huyu.
Muache aandamane kama sheria na katiba inavyosema, atachoka mwenyewe.