Raila Odinga anachofanya kwa sasa ni uasi sio siasa. Anajaribu kutaka kufanya mapinduzi. Ruto hapaswi kuwa mpole kupitiliza

Ni mshenzi tuu!
Hao anaowatumikia NAO ni washenzi
Wasaidizi wake pia.

Kuua mtoto wa mtu bila sababu zenye mantiki, kiukweli haivumiliki.
Mtoto wa mtu akiwa kiherehere anapaswa ale njugu tu ili kumkata wenge. Huyo Raila ataonywa ila asiposikia kitakachomkuta atafurahi
 
Kuna kaukakasi kengine kwenye kinaoitwa "MAHAKAMA KUU" kubariki USHOGA
 
Katiba ya Kenya Inawaumiza sana CCM.
furthermore Kenyatta aliwai kumpa ulinzi odinga kwenda kujiapisha jambo ambalo haliwezi fanyika Tanzania kwasababu ya watu kutokuwa na hekima.
 
Ni mshenzi tuu!
Hao anaowatumikia NAO ni washenzi
Wasaidizi wake pia.

Kuua mtoto wa mtu bila sababu zenye mantiki, kiukweli haivumiliki.
Mtoto wa watu ndio kama nani? Kama ni innocent citizens sawa, ila kama ndio hao watoto za watu wanaoua raia wengine (mfano kwa kuwauzia madawa ya kulevya), wao ndio hawatakiwa kuuliwa na mamlaka ya rais?
 
Tulieni polepole falsafa za jpm mnazielewa
 
Mtoto wa watu ndio kama nani? Kama ni innocent citizens sawa, ila kama ndio hao watoto za watu wanaoua raia wengine (mfano kwa kuwauzia madawa ya kulevya), wao ndio hawatakiwa kuuliwa na mamlaka ya rais?

Sheria za nchi zinajieleza.
Kama jitu linauza madawa kulevya, sheria zibadilishwe kuwa ukikutwa unauza madawa ya kulevya uuawe.
Sio sheria iseme hivi, alafu MTU aadhibiwe vile. Ni uhuni.

Ndio maana ya serikali, yaani unasheria na taratibu. Na sio Maoni na mihemko ya MTU.
 
Wooote madikiteta walikufa mapema kuliko wanao andamana. Reference TANZANIA
 
Kuna watu wako juu ya sheria na wako humohumo serikalini. Wao wanajiona hawagusiki. Ila wanaua na kuharibu maisha ya raia wasio na nguvu either directly au indirect kutokana na maamuzi yao au kutokuwajibika kwao wakati walipokua na nafasi. Hao ni kuua na kufukilia mbali kimyakimya. Kama wao sheria haziwawajibishi wanapoua na kuumiza wengine basi nao ni wa kuua tu kimyakimya
 
Upo sahihi.
Ila kuua/kumwaga damu ya MTU asiye na hatia. Au Makosa hayalingani na adhabu. Ni dhulma kubwa.
Makosa ya mauaji yanajulikana mbona.
 
Mtoto wa mtu akiwa kiherehere anapaswa ale njugu tu ili kumkata wenge. Huyo Raila ataonywa ila asiposikia kitakachomkuta atafurahi
Hahhaha mkuu unaijua Kenya? Nakwambia siku akiuwawa ndio itakua mwisho wa taifa la Kenya. Yaani kuanzia Luhyalanda, Nyanza, Coast, Na Ukambana bendera ya Kenya itashushwa itakua ni vita kwenda mbele. Kule siasa ni za kikabila mfano kama huku unakuta ACT ni ya waha so kigoma, Tabora, Rukwa unakuta hakuna chama kingine. Ukienda Kanda ya ziwa unakuta labda CCM ukienda kaskazini ni Chadema so ukigusa kiongozi wa chama umegusa kabila Zima.

Kama Moi hakumuua Odinga ndio sembuse Ruto aliyefundishwa siasa na Odinga?? Narudia Tena siku akiuwawa Odinga ndio mwisho wa nchi inaitwa Kenya.
 
Ananyooshwa na Kenya inaendelea kuwepo kama kawaida.
 
Ruto ameanza kuwafinya kidogo kidogo. Amewasambaratisha wale jamaa walikuwa wanajifanya eti sijui bunge la wananchi sijui nini. Haya tuone sasa.
 
Na hiyo ndiyo siasa tofauti ya hapo ni maigizo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…