Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitu cha kujifiunza hapo!! Dunia ni kama kijiji kimoja, kinachotokea sehemu moja ya dunia kina athari katika sehemu nyingine!! Nitashangaa kama hilo haulijui!!Yanatuhusu?
Raila ana haki ya kupeleka malalamiko yake mahakamani. Anaitumia haki hiyo. Mahakama itaamua kama hakuna kesi basi ombi lake litatupwa vinginevyo kesi itaendeshwa. Tusubiri tuone, lakini Raila ni mjenzi mkuu wa demokrasia na utawala bora Kenya. Ashinde asishinde kuna mafunzo yatakayo patikana hapo ambayo yata tumika 2027. Tuache inyeshe tujue wapi panavuja.Lengo la Raila ni kuivuruga kenya. sababu ya uchu na uroho wa uongozi.
Yanatuhusu sana, kwanza ni kwa sababu kuna kitu cha kujifunza hapo! Yale mazuri tunaiga na yale mabaya tunaona namna ya kuyaepuka! Dunia ni kama kijiji kimoja, kinachotokea upande mmoja huwa na athari katika sehemu nyingine. Nitashangaa kama haulijui hilo!Yanatuhusu?
Na ww n mahakama ya high court au sioHana sababu ya msingi, ndio maana sababu za kukataa matokeo zimekuwa zinabadilika! Mwanzoni alisema yeye ndio mshindi kwa namna alivyokuwa amejumlisha kura zake na akatishia kuwa hatutakubali kama matokeo yatabadilishwa!
Baadaye akasema mahesabu yana makosa maana jumla ya asilimia ni 100.01% na kuna ziada ya kura 142,000 ikiwakilishwa na hizo asilimia 0.1% zilizozidi. Na hii ndiyo ilikuwa pointi yao kubwa ya kwanza!!b Baadaye wakagundua kuwa wamechemka kwenye mahesabu hayo!! Sasa Raila anadai yeye na Ruto hakuna aliyefikisha 50%+1, kwa hiyo uchaguzi urudiwe!!
wewe unajua ana ushahidi gani? keep patienceRuto did not attain 50+1 threshold, Azimio says in court papers!
Matokeo ni haya hapa:
Last updated: 15/08/2022, 18:59:28 local time (GMT+3)
Final results from IEBC
JUMLA YA KURA HALALI: 14,213,027.
Candidates Vote ![]()
William Ruto
50%50.5%
7,176,141![]()
Raila Odinga48.8%
6,942,930![]()
![]()
Other Candidates0.6%
93,956
Asilimia ya Ruto: 7,176,141/14,213,027 x 100 = 50.4899%
Asilimia ya Raila: 6,942,930/14,213,027 x 100 = 48.8491%
Asilimia ya George: 61,969/14,213,027 x 100 = 0.4360%
Asilimia ya David: 31,987/14,213,027 x 100 = 0.2251%
JUMLA YA KURA HALALI: 14,213,027. = 100.0001%
Raila anakiri kuwa Ruto amepata kura 7,176,141 lakini HATAKI kukubali kuwa kura za Ruto ni sawa na asilimia 50.49% kama ilivyotangazwa na tume huru ya uchaguzi wa kenya. Raila anadai kuwa Ruto hajafikisha kigezo cha 50% + 1. Huko ndiko kutapatapa kwani mahesabu yanaonesha kuwa Ruto amepata 50% + 69,629.
BILA SHAKA Raila anandoto za kutaka kuishawishi mahakama ya juu kabisa ya kenya ili IBADILI KATIBA YA KENYA KUHUSU KIGEZO CHA KUWA RAIS WA KENYA KUPITIA KURA. Iko hivi: Kwa sasa mtu anahesabika kuwa ameshinda kama atapata kura 50% + 1 ya KURA HALALI ZILIZOPIGWA (VALID VOTES). Kwa tafsiri ya sasa, kura halali ni zile zinazoonesha KWA WAZI mpiga kura alikuwa anampigia mgombea yupi, kwa hiyo kura yake kuhesabiwa. Raila anataka kubadili TAFSIRI YA KURA HALALI kuwa ni kura zote zilizopigwa hata kama zimeharibika na hazikuhesabiwa kwa mgombea yoyote!! Ukifanya hivyo itapunguza asilimia ya kila mgombea na Ruto hatafikisha hiyo 50%+1. Huko ndiko kutapatapa maana Raila anataka mahakama ikubali kitu ambacho hakikubaliki duniani kote!! Kwa mfano mpiga kura kutokumpigia mgombea yoyote na akatumbukiza kura yake bila chaguo lolote, au anawachagua wagomea wote, hiyo nayo kwa Raila ni kura halali!!
anaitumia haki hiyo vibaya sana! anazidi kupoteza resources za wakenya bure!!Raila ana haki ya kupeleka malalamiko yake mahakamani. Anaitumia haki hiyo. Mahakama itaamua kama hakuna kesi basi ombi lake litatupwa vinginevyo kesi itaendeshwa. Tusubiri tuone, lakini Raila ni mjenzi mkuu wa demokrasia na utawala bora Kenya. Ashinde asishinde kuna mafunzo yatakayo patikana hapo ambayo yata tumika 2027. Tuache inyeshe tujue wapi panavuja.
Huyu mzee safari hii anaenda kupata aibu mahakamaniRuto did not attain 50+1 threshold, Azimio says in court papers!
Matokeo ni haya hapa:
Last updated: 15/08/2022, 18:59:28 local time (GMT+3)
Final results from IEBC
JUMLA YA KURA HALALI: 14,213,027.
Candidates Vote ![]()
William Ruto
50%50.5%
7,176,141![]()
Raila Odinga
48.8%
6,942,930![]()
![]()
Other Candidates
0.6%
93,956
Asilimia ya Ruto: 7,176,141/14,213,027 x 100 = 50.4899%
Asilimia ya Raila: 6,942,930/14,213,027 x 100 = 48.8491%
Asilimia ya George: 61,969/14,213,027 x 100 = 0.4360%
Asilimia ya David: 31,987/14,213,027 x 100 = 0.2251%
JUMLA YA KURA HALALI: 14,213,027. = 100.0001%
Raila anakiri kuwa Ruto amepata kura 7,176,141 lakini HATAKI kukubali kuwa kura za Ruto ni sawa na asilimia 50.49% kama ilivyotangazwa na tume huru ya uchaguzi wa kenya. Raila anadai kuwa Ruto hajafikisha kigezo cha 50% + 1. Huko ndiko kutapatapa kwani mahesabu yanaonesha kuwa Ruto amepata 50% + 69,629.
BILA SHAKA Raila anandoto za kutaka kuishawishi mahakama ya juu kabisa ya kenya ili IBADILI KATIBA YA KENYA KUHUSU KIGEZO CHA KUWA RAIS WA KENYA KUPITIA KURA. Iko hivi: Kwa sasa mtu anahesabika kuwa ameshinda kama atapata kura 50% + 1 ya KURA HALALI ZILIZOPIGWA (VALID VOTES). Kwa tafsiri ya sasa, kura halali ni zile zinazoonesha KWA WAZI mpiga kura alikuwa anampigia mgombea yupi, kwa hiyo kura yake kuhesabiwa. Raila anataka kubadili TAFSIRI YA KURA HALALI kuwa ni kura zote zilizopigwa hata kama zimeharibika na hazikuhesabiwa kwa mgombea yoyote!! Ukifanya hivyo itapunguza asilimia ya kila mgombea na Ruto hatafikisha hiyo 50%+1. Huko ndiko kutapatapa maana Raila anataka mahakama ikubali kitu ambacho hakikubaliki duniani kote!! Kwa mfano mpiga kura kutokumpigia mgombea yoyote na akatumbukiza kura yake bila chaguo lolote, au anawachagua wagomea wote, hiyo nayo kwa Raila ni kura halali!!
Inamaana pamoja na RO kuwa team deep state, bado wamem-outsmart? Si ajabu sasa wafuasi wake na viongozi wenzake wanaahamia kwa president-elect kwa spidi ya 5GMwenzio amebeba mzigo wa makaratasi amepeleka mahakamani, wewe unasema anatapatapa tena kwa kigezo cha matokeo ya Chebukati anayelalamikiwa na Odinga na timu yake.
Why not the other way round? Usikute team Raila waliweka mategemeo ambayo hayakuzaa matunda, so wanaishi katika ulimwengu wa ndoto za Alinacha.Nyie ndio wale wa kitojali hata unafiki mnashabikiaga, Kama Kuna uhuni wa tume ni sahihi Raila kunyoosha Mambo hata akishindwa, Leo Kenya inayosifiwa kwa uhuru na demokrasia kinara wa hatua hiyo ni Odinga. nyie endeleni na nyimbo zenu za "tumeipenda wenyewe.....chichiemu nyambari wani" Sasa mnasokomezwa MITOZO TOZO hadi mkufe
Umesoma ripoti ya wale waasi 4 wa IEBC?Moja ya madai ya Raila ni kwamba kura za majimbo 30 hazikujumlishwa katika hayo matokeo kitendo ambacho Chebukati alikuwa alijaribu kubadilisha kile wananchi walichokuwa wameamua, hata tume hii ya Uchaguzi Railla alichangia pakubwa kupatikana kwake, hivyo hata mahakamani Raila alijua mapema kwamba tume haitatoa haki hivyo akachangia kupatikana kwa katiba inayomuwezesha kupata haki mahakamani, nyei chezeeni Uchaguzi lakini mahakama itatoa haki kwa walioenda kuilalamikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepita mulemule, mkuu. Raila hawezi kukubali matokeo yoyote ya uchaguzi, hata akishinda yeye.Hana sababu ya msingi, ndio maana sababu za kukataa matokeo zimekuwa zinabadilika! Mwanzoni alisema yeye ndio mshindi kwa namna alivyokuwa amejumlisha kura zake na akatishia kuwa hatutakubali kama matokeo yatabadilishwa!
Baadaye akasema mahesabu yana makosa maana jumla ya asilimia ni 100.01% na kuna ziada ya kura 142,000 ikiwakilishwa na hizo asilimia 0.1% zilizozidi. Na hii ndiyo ilikuwa pointi yao kubwa ya kwanza!!b Baadaye wakagundua kuwa wamechemka kwenye mahesabu hayo!! Sasa Raila anadai yeye na Ruto hakuna aliyefikisha 50%+1, kwa hiyo uchaguzi urudiwe!!
2017 pamoja na mapungufu yote, kilichosababisha hasa Supreme Court kubatilisha matokeo ni OPACITY (OPAQUENESS ama OPAQUE NATURE, kama aandikavyo Ms J. Chererror🙂). Remember servers za Msando?Mmeshageuka mahakama, nyie time yenu haishitakiwi ndio maana mnaumia.mtu akienda kudai haki yake mahakamani
2017 alikimbia uchaguzi wa marudio. Sasa asitegemee kabisa kusikilizwa hahaha... kama akiweza kuishawishi mahakama kuhusu madai yake, kurudia uchaguzi sio tatizo - demokrasia ni gharama. Otherwise, tukienda kwa thinking za "hajali gharama za uchumi wa nchi", ni kuwapa wahuni nafasi ya kupora chaguzi halafu kinafuata kibwagizo cha "gharama za kurudia uchaguzi" kana kwamba walivyokuwa wanapora hawakujua ni gharama. HAKI haina mbadala!
Anasema deep state iko upande wake 😁😁😁Huyu mzee safari hii anaenda kupata aibu mahakamani
^This evidence is BOMBSHELL^ ~ James Orengo 🙂wewe unajua ana ushahidi gani? keep patience
Mawakili wake 54 je?anaitumia haki hiyo vibaya sana! anazidi kupoteza resources za wakenya bure!!
naamini mahakama itatupilia mbali huu upuuzi wenye lengo la kupowapotezea muda wa maendeleo wananchi.
Huwezi kutegemea fact moja katika civil complaint kutengeneza kesi yako mara nyingi unaweka fact nyingi ili moja ikidondoka nyingine inasimama. Sasa huyo ngumbaru aliyetengeneza mada hii kanyofoa ka fact kamoja ili tuamini kuwa kesi yake ndiko pekee ilipolalia?Ruto did not attain 50+1 threshold, Azimio says in court papers!