Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala hajachakaa bali anajituma kuwatumikia wakenya kufanya kazi usiku na mchana.Pamoja si pamoja
Ruto pamoja na kua Rais kiukweli kachakaa sana na ile nuru hata usoni haipo yaani mwaka mmoja kachakaa kachoka hatari,
View attachment 2701520
Aisee [emoji2][emoji2][emoji2]
Ukiona mtu anataka kukunyang'anya mkate lazima uchakae.
Maisha yanabadilikaUmemuona Ruto akiwa Rais na Ruto akiwa makamu wa Rais watu wawili tofauti
Pamoja si pamoja
Ruto pamoja na kua Rais kiukweli kachakaa sana na ile nuru hata usoni haipo yaani mwaka mmoja kachakaa kachoka hatari,
View attachment 2701520
Utasikia anasema 'hapana joo sijawa Mkondee ni venye niko kwa diet'
Hivi Ruto anaumwa au?mbona alikuwa yupo vizuri tu kabla ya uraisi
Upo sahihi kamanda hii mbinu ya Raila sijaikubali kabisaa...Wala hajachakaa bali anajituma kuwatumikia wakenya kufanya kazi usiku na mchana.
Raila ni mpuuz tu kazi kuharibu mali za watu. Na mwisho wake utakuwa mbaya sana
hoja zako zote mbili uko sahihi. Lakini usumbufu anaomfanyia Ruto ni mbaya sana. Na kinachomuumiza ruto si raila ni Uhuru. Haipendezi kabisa mtu ambaye amekuachia kiti ndiye anakuwa mpinzani wako tena anafadhili harakati za kukupindua. Na wakati huo huo anakwenda DRC anajifanya mpatanishi.Wala hajachakaa bali anajituma kuwatumikia wakenya kufanya kazi usiku na mchana.
Raila ni mpuuz tu kazi kuharibu mali za watu. Na mwisho wake utakuwa mbaya sana
naona humjui Jaramogi Oginga Odinga(baba yake Raila), hao ni motto wa kuotea mbali, wanarithishana tu, ni familia sumbufu kenya toka Kenyatta MzeeWala hajachakaa bali anajituma kuwatumikia wakenya kufanya kazi usiku na mchana.
Raila ni mpuuz tu kazi kuharibu mali za watu. Na mwisho wake utakuwa mbaya sana
naona humjui Jaramogi Oginga Odinga(baba yake Raila), hao ni motto wa kuotea mbali, wanarithishana tu, ni familia sumbufu kenya toka Kenyatta Mzee
usisahau pia ni Matajiri kupindukia,
naomba nikuulize, ushawahi fika Kisumu..?