Uhuru anamuita Samia kama nani, si ni kiherehere hicho. Uhuru alitakiwa amuite Kikwete, hao ndio wastaafu.
Ni dharau na kujipa majukumu kwa Rais mstaafu kumuita Rais aliyepo madarakani wa nchi nyingine kuja kwenye state visit. Na Samia naye akili za kina Prof. Mruma, unaitwa na mstaafu unaenda. Sema ndio vile Rais alianza na jambo kubwa la Royal Tour unategemea nini, kama anaenda kienyeji hivi hata ukimualika kuzindua darasa pale Morocco ataenda.
 
Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya amedai kuwa Rais Ruto alikataa kukutana na Rais Samia Suluhu alipoenda nchini humo wiki mbili zilizopita kwa ajili ya kuwapatanisha
 
Ahadi ya Ruto ku deal na Odinga once and for all inatimia, Raila alidhani njia yake ya kutumia maandamano na vurugu baada ya uchaguzi itamsaidia kuwa Sehemu ya Serikali ya Kenya Kwanza ila amegonga mwamba. Raila saizi anaongelea Mediation kati yake na Ruto wakati siku chache zilizopita alisema hawezi kuzungumza na Ruto na wala hataki Handshake badli anaongoza maandamano juu ya Gharama ya maisha, leo kafuta mpango wake wa kuendelea na maandamano analilia mediation 😀 😀, Raila itabidi azoee siasa za Hustler, Ruto sio Cerelac kid kama Kenyatta.
 
Raisi wa Tanzania kwa mujibu wa Raila Odinga alifika nchini Kenya lkn raisi Ruto alikataa kukutana naye, hii sijawahi kusikia kuanzia nimenza kufwatillia Siasa za Tanzania kwamba raisi wa Tanzania anakwenda nchi jirani tena Kenya na raisi wa Kenya anakataa kukutana naye? video hiyo hapo chini.

Raisi wa Kenya akija Tanzania ni kama mfalme anavyopokewa, kazi tunayo.

 
Raila ni wakupigwa virungu tu. Umeshindwa uchaguzi alafu hautaki mwenzako aongoze nchi, why?? Kwake yeye demokrasia ni yeye tu akishinda. Mpuuzi kabisa.
Hapo unamsema lisu na mbowe Sasa kwenye maana ya demokarasia
 
Kafie mbali , utashikwa na vidonda vya tumbo mpaka Samia atoke madarakani
 
yeye odinga kwanini analazimisha kwamba kuna mgogoro? si alishindwa uchaguzi? wazi wazi kabisa tuliona, hadi ahitaji usuluhishi kwa ajili ya nini?
 
Ni lini pia Rais Samia atakaa na wale wanaopinga Vipengele vya Kampuni ya DP World na wale wanaouunga mkono ili Kuwasuluhisha kama alivyofanya huko ( hivi ) kwa Ruto na Odinga?
 
Kwanini Uhuru (Retired), amualike Samia (Incumbent). Hii kiitifaki imekaaje?
Hiyo ya "Uhuru" kumualika umeipata wapi? soma:


"The President of Tanzania came here two weeks ago at the invitation of President Ruto to mediate and she was kept waiting,"


Lakini hata Uhuru akimualika kuna dhambi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…