D Dr Guitar tz JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 312 Reaction score 247 Feb 1, 2018 #1 Kwa mujibu wa habari ya Idhaa ya Kiswahili DW ya saa 7 mchana huu, inadaiwa kiongozi wa Muungano wa NASA, Raila Odinga eti yupo Tanzania kwa likizo fupi.... Raila alijiapisha siku ya jana kuwa Rais wa Watu wa Kenya kitendo kilicho kinyume na Sheria.
Kwa mujibu wa habari ya Idhaa ya Kiswahili DW ya saa 7 mchana huu, inadaiwa kiongozi wa Muungano wa NASA, Raila Odinga eti yupo Tanzania kwa likizo fupi.... Raila alijiapisha siku ya jana kuwa Rais wa Watu wa Kenya kitendo kilicho kinyume na Sheria.
Luno G JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 2,549 Reaction score 1,849 Feb 1, 2018 #2 Nmesikia muda huu pia
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Feb 1, 2018 #3 Sasa Rais kaja Tz wakati hajateua baraza la mawaziri?
weed JF-Expert Member Joined Sep 26, 2012 Posts 2,459 Reaction score 3,576 Feb 1, 2018 #4 Habari ya idhaa ya kiswahili DW mchana huu wanadai Raisi clone wa Kenya eti yupo Tanzania likizo fupi.... sijui atakua mkoa gani nijaribu kuona kama naweza kupata nafasi ya kupiga nae PICHA kabla hajarudi kwao kuendesha nchi "yake" Swali la kizushi...Atakaa muda gani?
Habari ya idhaa ya kiswahili DW mchana huu wanadai Raisi clone wa Kenya eti yupo Tanzania likizo fupi.... sijui atakua mkoa gani nijaribu kuona kama naweza kupata nafasi ya kupiga nae PICHA kabla hajarudi kwao kuendesha nchi "yake" Swali la kizushi...Atakaa muda gani?
N NAMESHE JF-Expert Member Joined Jan 11, 2018 Posts 669 Reaction score 795 Feb 1, 2018 #5 atakuwa Katavi labda
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,252 Feb 1, 2018 #6 Kwa mujibu wa DW Leo 01/02/2018 ni Kwamba Baada ya kujiapisha kuwa Rais wa watu, Raila Odinga yupo mapumzikoni nchini Tanzania
Kwa mujibu wa DW Leo 01/02/2018 ni Kwamba Baada ya kujiapisha kuwa Rais wa watu, Raila Odinga yupo mapumzikoni nchini Tanzania
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,109 Feb 1, 2018 #7 Umefurahi?
D Dr Guitar tz JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 312 Reaction score 247 Feb 1, 2018 Thread starter #8 Saint Ivuga said: Sasa Rais kaja Tz wakati hajateua baraza la mawaziri? Click to expand... Si Unajua tena anasikilizia
Saint Ivuga said: Sasa Rais kaja Tz wakati hajateua baraza la mawaziri? Click to expand... Si Unajua tena anasikilizia
carcinoma JF-Expert Member Joined Mar 5, 2017 Posts 5,059 Reaction score 13,771 Feb 1, 2018 #9 Baada ya kuona source ya habari ni DW nikaelewa kila kitu
Luno G JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 2,549 Reaction score 1,849 Feb 1, 2018 #10 Sijui ataenda Chato
weed JF-Expert Member Joined Sep 26, 2012 Posts 2,459 Reaction score 3,576 Feb 1, 2018 #11 Habari ya idhaa ya kiswahili DW mchana huu wanadai Raisi clone wa Kenya eti yupo Tanzania likizo fupi.... sijui atakua mkoa gani nijaribu kuona kama naweza kupata nafasi ya kupiga nae PICHA kabla hajarudi kwao kuendesha nchi "yake" Swali;atakaa muda gani??😵
Habari ya idhaa ya kiswahili DW mchana huu wanadai Raisi clone wa Kenya eti yupo Tanzania likizo fupi.... sijui atakua mkoa gani nijaribu kuona kama naweza kupata nafasi ya kupiga nae PICHA kabla hajarudi kwao kuendesha nchi "yake" Swali;atakaa muda gani??😵
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,211 Reaction score 12,538 Feb 1, 2018 #12 kwanini kamsahau yule aliemuapisha? si wangekuja wote
C centry JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 246 Reaction score 336 Feb 1, 2018 #13 Mbona hawajaanza na cheo chake cha Rais
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Feb 1, 2018 #14 Huenda hakusoma vema baadhi ya mistari alipokuja wakati ule
josephat manyenye JF-Expert Member Joined Dec 3, 2017 Posts 529 Reaction score 679 Feb 1, 2018 #15 Dr Guitar tz said: Hii ni kwa mujibu wa Dw Dunia yetu leo mchana, saa 7 hii. Click to expand... Sijui anataka nini tena jamani kwetu watanzania
Dr Guitar tz said: Hii ni kwa mujibu wa Dw Dunia yetu leo mchana, saa 7 hii. Click to expand... Sijui anataka nini tena jamani kwetu watanzania
Chibati Senior Member Joined Jul 28, 2015 Posts 150 Reaction score 212 Feb 1, 2018 #16 Harudi tena Kenya huyo. Keshasoma alama za nyakati. Kenyatta atamsweka jela maisha
911sep11 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2018 Posts 2,461 Reaction score 4,272 Feb 1, 2018 #17 baba amekuja kwa baba mkubwa kufarijiwa Dad will always be there for you Jaluo 😀
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Feb 1, 2018 #18 Ni aibu kwa serikali kumkaribisha Odinga
chris bedo Member Joined Apr 11, 2014 Posts 67 Reaction score 58 Feb 1, 2018 #19 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ile aliyopigwa raila ni ku fu
F9T JF-Expert Member Joined Dec 26, 2015 Posts 2,677 Reaction score 4,959 Feb 1, 2018 #20 kaja kwa best yake wà chato