Tetesi: Raila Odinga yupo Tanzania kwa mapumziko

Habari ya idhaa ya kiswahili DW mchana huu wanadai Raisi clone wa Kenya eti yupo Tanzania likizo fupi....

sijui atakua mkoa gani nijaribu kuona kama naweza kupata nafasi ya kupiga nae PICHA kabla hajarudi kwao kuendesha nchi "yake"

Swali la kizushi...Atakaa muda gani?
 
Kwa mujibu wa DW Leo 01/02/2018 ni Kwamba Baada ya kujiapisha kuwa Rais wa watu, Raila Odinga yupo mapumzikoni nchini Tanzania
 
Habari ya idhaa ya kiswahili DW mchana huu wanadai Raisi clone wa Kenya eti yupo Tanzania likizo fupi....

sijui atakua mkoa gani nijaribu kuona kama naweza kupata nafasi ya kupiga nae PICHA kabla hajarudi kwao kuendesha nchi "yake"

Swali;atakaa muda gani??😵
 
baba amekuja kwa baba mkubwa kufarijiwa
Dad will always be there for you Jaluo
😀
 
Back
Top Bottom