Raimundo popote pale ulipo

Nokia83
 
Ungejitokeza kipindi anasema Mimi ni mke wa Raimundo anaita na watu Waje waone. Mlidhani ningekaa kimya ??

Ilikua lini hiyo cute b??
Maana sikuwahi kukufahamu kama unahusika nae mpaka Daby alipokuja kuanzisha thread ninyi ni mashemeji
Ooh kumbe.
Basi mama.
Huu Uzi nimesema sitaongelea tena Ila kwa kuwa umeniita nimekuja.
Tufanye hamna kilichotokea.
Ila mafumbo sipendi . Leo nimependa umenijia direct.
Peace...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh kumbe.
Basi mama.
Huu Uzi nimesema sitaongelea tena Ila kwa kuwa umeniita nimekuja.
Tufanye hamna kilichotokea.
Ila mafumbo sipendi . Leo nimependa umenijia direct.
Peace...

Sent using Jamii Forums mobile app


Sinaga mafumbo mimi wala unafiki
Niliita watu kwa thread husika na wala sikutangangaza kuhusu wewe na Raimundo sababu sikuwahi kufahamu mahusiano yenu
Kuhusu mahusiano na Raimundo yes tulishachat sana huko pm nadhani hata wengi huwa wanachati
Lakini kukopwa naona kashfa inawezekana alikwambia kujistiri uanaume wake
Hata hivyo nimemtumia email uyo Raimundo ya audio zake bila Shaka atakutumia pia.
 
Naona unaanza kunifukunyua.
Umemtumia audio jinsi mlivyokuwa wapenzi au mlivyokuwa mnabebishana?
Hiyo hainihusu .. Point yangu ipo clear.. Mimi sikuwa mchumba wake ila wewe ndiye uliyekuwa.
Na hilo halina ubishi.
Mengine mtajua wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapendwa wangu cute b rubii naomba haya mambo yaishe hapa..........all i can say naomba tupendane hawa wanaume wapo na ni wa kupita tu.........samahanini sana kama nitakuwa nimeingilia ila naomba mpatane..........I love you my ladies
Ukifuatilia Mimi nilishamaliza kitambo sana.
Ila kadri ninavyomaliza yeye anaanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungejitokeza kipindi anasema Mimi ni mke wa Raimundo anaita na watu Waje waone. Mlidhani ningekaa kimya ??

Ilikua lini hiyo cute b??
Maana sikuwahi kukufahamu kama unahusika nae mpaka Daby alipokuja kuanzisha thread ninyi ni mashemeji
Jana Mimi nilisema, chanzo cha hii vita ni umbea wa Daby akabisha. Katoa umbea kashindwa kuleta umbea vizuri.
 
Aliliwa akalipia gharama mwnyw?!...watu wabaya jamani
Khakhaakhaaaaa

Nimejikuta Nacheka bila kupenda yooomaaweeeeeeeeee![emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
My king sorry mbavu zilizidiwa nikaona nizisaidie kucheka tu. Tehiitehii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1]
Wacha niendelee na safari yangu miyeeee [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]


Mahondaw wa Smart911
 
Nisimulie basi...Mi mvivu kusoma
Kb Ukitaka mkanda mzima anza page ya 1 mpaka mwisho ndo utaenjoy..

Smart911 wangu sorii [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] mi napita tu [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ila mbavu zi hoi hapa haki tena.

Mahondaw wa Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…