Raimundo popote pale ulipo

ALINIZENGUA WAKATI ALIKUWA BEST YANGU HUKO MWANZO KHAAAA NIKAMWEKA KAPUNI MAANA NILIKUWA NIKIMUONA HAPA UBAONI MORI UNAAMKA NIKAONA BORA NI MUIGNORE KUEPUSHA SHARI
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Yangu ni mazito zaidi ila ndio hayupo tena amekwenda anapostahili

Rubiikimimi[emoji85]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] 100%true!!SBR ni mcc wangu

Cc BL
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nani kapanic kati yangu na wewe, huongei na machizi ila umekuja kunijibu hapa, hahaha haya am back
 
Mimi nlishaelewa kaja kutafuta kiki nkaachana nae...mara naondoka wiki sitokuwepo lkn unaona yupo tu.
kheee kumbe dada bado unanifatilia, enhe nimerudi hebu unipe hizo kiki
mwanaume katikati ya umbea huo vipiii[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hebu usifurahishe umati ulisubiri uje usaidiwe ndio ujibu
 
Ungejitokeza kipindi anasema Mimi ni mke wa Raimundo anaita na watu Waje waone. Mlidhani ningekaa kimya ??

Ilikua lini hiyo cute b??
Maana sikuwahi kukufahamu kama unahusika nae mpaka Daby alipokuja kuanzisha thread ninyi ni mashemeji
hivi kuitwa tu mke wa raimundo ndio mipovu inamtoka hivi au ulimuibia mume? dogo hebu kuwa mkweli?
 
Fanya yameisha
hebu oneni huyu si ulikuwa busy kuuliza enhe rubi alikopwa etc, now unajifanya yaishe, hadi unapewa cc katikati ya nyuzi kama hizi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,walahi uanaume kazi si ndogo,
 
Hahahaha leo humu ni wanaume wanasakamwa tu ,,, tuanze operation timua umbeya kwa wanaume maana wanatuzidi sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si wanaume wote wachache tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…