Rais ajaye Tanzania atokane na mmojawapo wa viongozi wafuatao

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
2,789
Reaction score
4,951
Hii ndio orodha ya wanasiasa na viongozi ambao ninaamini kama akampokea mikoba Rais Samia basi nchi itasonga mbele Kwa Kasi sana:

1. Mzee.Abdulrahman Kinana
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Dkt Bashiru Ali Kakurwa
4. Dkt. Hussein Mwinyi
5. PM Kassim Majaliwa

Nitarudi Kwa ajili ya Part 2 kuwaelezea na kuelezea Kwanini nchi inawahitaji zaidi
 
Bashiru waluwalu.hana msimamo, kigeugeu, hana msuri wa uongozi.

Kinana atajimilikisha mbuga zote za wanyama hasa hifadhi zenye tembo.
Watu wa hihemko na mdomo mwingi ni zero brain hamna kitu hao mtaishia kuambulia maneno meengi ya kufarijiwa.
 
Majaliwa mwizi anamhujumu rais Dkt Samia. Alisambaratisha mfumo wa kuthibiti upotevu wa mapato. Hafai kabisa tena rais Dkt Samia angemuondoa kabisa ni jambazi. Leo hii kitengo cha internal audit wizara ya fedha alikifabyoa figisu akishirikiana na jambazi mwingine mwigulu
 
Hapo hakuna wa kumfikia Dkt Samia. Ni Dkt Samia tu!
 
Tryto be serious.
 
Chomoa Namba 1 Namba 4 tupa kule kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…