Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Kwa heshima na taadhima naomba viongozi wa kuu wa mihimili mitatu ya nchi wajao baadae wawe WANAUME.
Pia Kiongozi wa juu kabisa awe MWANAUME.
Wenye Hekima wamenielewa.
Asanteni Sana.
Ukitaka kupita njia hii ukumbuke marais wote kabla ya Rais Samia walikua wanaume.
Halafu mapungufu na madhaifu ya mtu hayatokani na jinsia yake.
Kibaya zaidi hao wanaume unaowataka kwa maisha tuliyonayo sasa na yanayoendelea huku duniani Una hakika utawapata wote wanaume kamili?
Jinsia ya mtu haishiriki katika utendaji.
Jinsia ya mtu ni kiwakilishi cha kusudi la maumbile yake katika uumbaji.
Udhaifu wa mtu hauwakilishwi na jinsia yake na jinsia haibebeshwi lawama bali mtu hubeba lawama za mapungufu na madhaifu yake.