Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Jana ulikuwa Tanga na wakuu wa vikosi vya JWTZ. Ni mkutano muhimu na mkubwa kwa taifa lefu.
Japokuwa sio sana kwa maana mamlaka ya kutawala nchi hii yanatoka kwa wananchi na wala sio Jeshi wala vyombo vya usalama na majeshi. Ibara ya 8(1)(a) imetanabaisha wazi . Wananchi ndio wana mamlaka ya kuweka seikali na mamlaka.
Jana ulipokuwa Tanga na hao Wakuu wa vikosi vya JWTZ hakuna chama kingine cha upinzani ulichokitamka zaidi ya CHADEMA. Ulitamka kwa kutoa nasaha kuwa JWTZ isitumike kisiasa na CHADEMA...
Lakini Tambua kuwa hii sio CHADEMA. Bali ni CHADEMA inayoongozwa Tundu Antipasi Lissu. Hanunuliki, haongwi na wala hana njaa kama ile CHADEMA ya Mbowe.
Kwa Mantiki hiyo uwe unatamka kuwa hii ni CHADEMA ya Lissu