Rais akiwa anatakiwa kutambua kuwa hii CHADEMA ya sasa ni ya Lissu na sio ya Mbowe

Jana ulikuwa Tanga na wakuu wa vikosi vya JWTZ. Ni mkutano muhimu na mkubwa kwa taifa lefu.

Japokuwa sio sana kwa maana mamlaka ya kutawala nchi hii yanatoka kwa wananchi na wala sio Jeshi wala vyombo vya usalama na majeshi. Ibara ya 8(1)(a) imetanabaisha wazi . Wananchi ndio wana mamlaka ya kuweka serilali na mamlaka.

Jana ulipokuwa Tanga na hao Wakuu wa vikosi vya JWTZ hakuna chama kingine cha upinzani ulichokitamka zaidi ya CHADEMA. Ulitamka kwa kutoa nasaha kuwa JWTZ isitumike kisiasa na CHADEMA...

Lakini Tambua kuwa hii sio CHADEMA. Bali ni CHADEMA inayoongozwa Tundu Antipasi Lissu. Hanunuliki, haongwi na wala hana njaa kama ile CHADEMA ya Mbowe.

Kwa Mantiki hiyo uwe unatamka kuwa hii ni CHADEMA ya Lissu
CHADEMA NDIO WAASISI WA FUJO NA MACHAFUKO YA KUELEKEA NA MPAKA KWENYE UCHAGUZI NA BAADA YA UCHAGUZI. EMBU FIKIRIA KAZI WANAZOFANYA MITANDAONI VIJANA KAMA AKINA HILDA NEWTON NA TWAHA MWAIPAYA , JE HAWA WATU WANAHAMASISHA NINI ? PROPAGANDA WANAZOLETA ZA WANAJESHI NA KUZISAMBAZA KUWA JESHI LIKO NA WANANCHI, CHADEMA NI UPANDE WA UHANAHARAKATI WA MAPINDUZI KWA SERIKALI, SIASA YAO NI MBAYA KWA TAIFA LETU , NA JESHI LETU LIEUPUKE NA WATU NA SIASA HIZI KWA UJUMLA. LISSU ANGEKUWA URAIANI PAKA SASA UNADHANI NI MADHARA YAPI ANGEFANYA KWA UNUKISHAJI WAKE ? HIYO CHADEMA YA JUZI , JANA AU LEO PAMOJA NA CCM ZOTE ZATAKIWA KUKAA MBALI NA JESHI. ILA CHADEMA NI WATU HATARI KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU .
 
“Mh Rais ukiwa unaitamka CHADEMA uwe unasema CHADEMA ya Lissu. Hii sio ile CHADEMA ya Mbowe mliiozea”

Huu nao ni unafiki mwengine,unamuita samia ”Muheshimiwa” huku ukijua wazi mikono yake inachuruzika damu za Watanganyika wasiokuwa na hatia aliowauwa?ana uheshimiwa gani huyo au ndiyo kufuata protocol.
SI walikuwa wanaunguza nchi wajameni
 
CHADEMA NDIO WAASISI WA FUJO NA MACHAFUKO YA KUELEKEA NA MPAKA KWENYE UCHAGUZI NA BAADA YA UCHAGUZI. EMBU FIKIRIA KAZI WANAZOFANYA MITANDAONI VIJANA KAMA AKINA HILDA NEWTON NA TWAHA MWAIPAYA , JE HAWA WATU WANAHAMASISHA NINI ? PROPAGANDA WANAZOLETA ZA WANAJESHI NA KUZISAMBAZA KUWA JESHI LIKO NA WANANCHI, CHADEMA NI UPANDE WA UHANAHARAKATI WA MAPINDUZI KWA SERIKALI, SIASA YAO NI MBAYA KWA TAIFA LETU , NA JESHI LETU LIEUPUKE NA WATU NA SIASA HIZI KWA UJUMLA. LISSU ANGEKUWA URAIANI PAKA SASA UNADHANI NI MADHARA YAPI ANGEFANYA KWA UNUKISHAJI WAKE ? HIYO CHADEMA YA JUZI , JANA AU LEO PAMOJA NA CCM ZOTE ZATAKIWA KUKAA MBALI NA JESHI. ILA CHADEMA NI WATU HATARI KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU .
Acha uongo na uduanzi
 
Hakuna mtu samuya anamhara kama lissu, anatamani aendelee kukaa gerezani hadi 2030 atakapotimkia kizimkazi!!.
Hebu vuta picha kwa mauaji samuya aliyoyaamuru tarehe 29 oct lissu angekuwa nje leo hali ingekuwaje?!.

Angepush kesi ya ICC waziwazi na mashinikizo mengone mengi, huyu mama angepanic balaa!
 
Jana ulikuwa Tanga na wakuu wa vikosi vya JWTZ. Ni mkutano muhimu na mkubwa kwa taifa lefu.

Japokuwa sio sana kwa maana mamlaka ya kutawala nchi hii yanatoka kwa wananchi na wala sio Jeshi wala vyombo vya usalama na majeshi. Ibara ya 8(1)(a) imetanabaisha wazi . Wananchi ndio wana mamlaka ya kuweka seikali na mamlaka.

Jana ulipokuwa Tanga na hao Wakuu wa vikosi vya JWTZ hakuna chama kingine cha upinzani ulichokitamka zaidi ya CHADEMA. Ulitamka kwa kutoa nasaha kuwa JWTZ isitumike kisiasa na CHADEMA...

Lakini Tambua kuwa hii sio CHADEMA. Bali ni CHADEMA inayoongozwa Tundu Antipasi Lissu. Hanunuliki, haongwi na wala hana njaa kama ile CHADEMA ya Mbowe.

Kwa Mantiki hiyo uwe unatamka kuwa hii ni CHADEMA ya Lissu
Kwanza ameongea kama nani?
 
li umtekwe mtu lazima machawa ,wajumbe,wenyeviti wa mtaa,madiwani, policeccm wahusike dawa Mali na familia zao zisalimiwe 🔥moto
 
Jana ulikuwa Tanga na wakuu wa vikosi vya JWTZ. Ni mkutano muhimu na mkubwa kwa taifa lefu.

Japokuwa sio sana kwa maana mamlaka ya kutawala nchi hii yanatoka kwa wananchi na wala sio Jeshi wala vyombo vya usalama na majeshi. Ibara ya 8(1)(a) imetanabaisha wazi . Wananchi ndio wana mamlaka ya kuweka seikali na mamlaka.

Jana ulipokuwa Tanga na hao Wakuu wa vikosi vya JWTZ hakuna chama kingine cha upinzani ulichokitamka zaidi ya CHADEMA. Ulitamka kwa kutoa nasaha kuwa JWTZ isitumike kisiasa na CHADEMA...

Lakini Tambua kuwa hii sio CHADEMA. Bali ni CHADEMA inayoongozwa Tundu Antipasi Lissu. Hanunuliki, haongwi na wala hana njaa kama ile CHADEMA ya Mbowe.

Kwa Mantiki hiyo uwe unatamka kuwa hii ni CHADEMA ya Lissu
CHADEMA imekuwa ya Lissu? Nikidhani ni ya wanachama ambao miongoni mwao wako Lissu Mbowe na wengine wengine. Inaongozwa na Lissu lakini sio yake.

Msiwaige CCM kwa kummilikisha Mwenyekiti wao chama chenu.

Inabidi ifike mahali muachane na Mbowe maana mnasahau kuwa Lissu na wenzake walikuwa sehemu na viongozi wa Chadema ambayo Mwenyekiti wake alikuwa Mbowe. Walihusika kikamilifu katika hayo mapungufu unayodai yalikuwa sehemu yq chama chao.

Amandla...
 
Kila neno linalotoka kwenye kinywa chake linathibisha kuwa kuwa kweli alipata Div. IV nakuambulia D ya Kiswahili O Level.
 
Jana ulikuwa Tanga na wakuu wa vikosi vya JWTZ. Ni mkutano muhimu na mkubwa kwa taifa lefu.

Japokuwa sio sana kwa maana mamlaka ya kutawala nchi hii yanatoka kwa wananchi na wala sio Jeshi wala vyombo vya usalama na majeshi. Ibara ya 8(1)(a) imetanabaisha wazi . Wananchi ndio wana mamlaka ya kuweka seikali na mamlaka.

Jana ulipokuwa Tanga na hao Wakuu wa vikosi vya JWTZ hakuna chama kingine cha upinzani ulichokitamka zaidi ya CHADEMA. Ulitamka kwa kutoa nasaha kuwa JWTZ isitumike kisiasa na CHADEMA...

Lakini Tambua kuwa hii sio CHADEMA. Bali ni CHADEMA inayoongozwa Tundu Antipasi Lissu. Hanunuliki, haongwi na wala hana njaa kama ile CHADEMA ya Mbowe.

Kwa Mantiki hiyo uwe unatamka kuwa hii ni CHADEMA ya Lissu
ni ya mercenaries right? :pedroP:

ila why imehamia nairobi?
 
Screenshot_20251129-214516~2.png
 
CHADEMA NDIO WAASISI WA FUJO NA MACHAFUKO YA KUELEKEA NA MPAKA KWENYE UCHAGUZI NA BAADA YA UCHAGUZI. EMBU FIKIRIA KAZI WANAZOFANYA MITANDAONI VIJANA KAMA AKINA HILDA NEWTON NA TWAHA MWAIPAYA , JE HAWA WATU WANAHAMASISHA NINI ? PROPAGANDA WANAZOLETA ZA WANAJESHI NA KUZISAMBAZA KUWA JESHI LIKO NA WANANCHI, CHADEMA NI UPANDE WA UHANAHARAKATI WA MAPINDUZI KWA SERIKALI, SIASA YAO NI MBAYA KWA TAIFA LETU , NA JESHI LETU LIEUPUKE NA WATU NA SIASA HIZI KWA UJUMLA. LISSU ANGEKUWA URAIANI PAKA SASA UNADHANI NI MADHARA YAPI ANGEFANYA KWA UNUKISHAJI WAKE ? HIYO CHADEMA YA JUZI , JANA AU LEO PAMOJA NA CCM ZOTE ZATAKIWA KUKAA MBALI NA JESHI. ILA CHADEMA NI WATU HATARI KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU .
kamdanganye mama yako makaburini huko
 
Back
Top Bottom