Pale alipowaambia kwa Kamandi zao wajipange kwa uchaguzi maana yake aliwaingiza kwenye siasa tayari.Ulitamka kwa kutoa nasaha kuwa JWTZ isitumike kisiasa na CHADEMA...
Nakuhakikishia ipo siku utakuja hapa jukwaani ukiapa kwamba hutoshabikia siasa tena🤣🤣🤣Lakini Tambua kuwa hii sio CHADEMA. Bali ni CHADEMA inayoongozwa Tundu Antipasi Lissu. Hanunuliki, haongwi na wala hana njaa kama ile CHADEMA ya Mbowe.
Pumbaff chawa umeandika pumba tupu.Jana ulikuwa Tanga na wakuu wa vikosi vya JWTZ. Ni mkutano muhimu na mkubwa kwa taifa lefu.
Japokuwa sio sana kwa maana mamlaka ya kutawala nchi hii yanatoka kwa wananchi na wala sio Jeshi wala vyombo vya usalama na majeshi. Ibara ya 8(1)(a) imetanabaisha wazi . Wananchi ndio wana mamlaka ya kuweka serilali na mamlaka.
Jana ulipokuwa Tanga na hao Wakuu wa vikosi vya JWTZ hakuna chama kingine cha upinzani ulichokitamka zaidi ya CHADEMA. Ulitamka kwa kutoa nasaha kuwa JWTZ isitumike kisiasa na CHADEMA...
Lakini Tambua kuwa hii sio CHADEMA. Bali ni CHADEMA inayoongozwa Tundu Antipasi Lissu. Hanunuliki, haongwi na wala hana njaa kama ile CHADEMA ya Mbowe.
Kwa Mantiki hiyo uwe unatamka kuwa hii ni CHADEMA ya Lissu
haileweki kama mvua za mwaka huu daily tunaletewa vituko vipya tu.Kivipi?
Sio unafiki. Hili tumeshaliweka wazi. Watanzania wengi mioyoni mwao hawamtambui kama rais. Hakuna Katiba ya kutusaidia. Nm“Mh Rais ukiwa unaitamka CHADEMA uwe unasema CHADEMA ya Lissu. Hii sio ile CHADEMA ya Mbowe mliiozea”
Huu nao ni unafiki mwengine,unamuita samia ”Muheshimiwa” huku ukijua wazi mikono yake inachuruzika damu za Watanganyika wasiokuwa na hatia aliowauwa?ana uheshimiwa gani huyo au ndiyo kufuata protocol.
Hakuna chadema ya mtu.Jana ulikuwa Tanga na wakuu wa vikosi vya JWTZ. Ni mkutano muhimu na mkubwa kwa taifa lefu.