CHADEMA NDIO WAASISI WA FUJO NA MACHAFUKO YA KUELEKEA NA MPAKA KWENYE UCHAGUZI NA BAADA YA UCHAGUZI. EMBU FIKIRIA KAZI WANAZOFANYA MITANDAONI VIJANA KAMA AKINA HILDA NEWTON NA TWAHA MWAIPAYA , JE HAWA WATU WANAHAMASISHA NINI ? PROPAGANDA WANAZOLETA ZA WANAJESHI NA KUZISAMBAZA KUWA JESHI LIKO NA WANANCHI, CHADEMA NI UPANDE WA UHANAHARAKATI WA MAPINDUZI KWA SERIKALI, SIASA YAO NI MBAYA KWA TAIFA LETU , NA JESHI LETU LIEUPUKE NA WATU NA SIASA HIZI KWA UJUMLA. LISSU ANGEKUWA URAIANI PAKA SASA UNADHANI NI MADHARA YAPI ANGEFANYA KWA UNUKISHAJI WAKE ? HIYO CHADEMA YA JUZI , JANA AU LEO PAMOJA NA CCM ZOTE ZATAKIWA KUKAA MBALI NA JESHI. ILA CHADEMA NI WATU HATARI KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU .Jana ulikuwa Tanga na wakuu wa vikosi vya JWTZ. Ni mkutano muhimu na mkubwa kwa taifa lefu.
Japokuwa sio sana kwa maana mamlaka ya kutawala nchi hii yanatoka kwa wananchi na wala sio Jeshi wala vyombo vya usalama na majeshi. Ibara ya 8(1)(a) imetanabaisha wazi . Wananchi ndio wana mamlaka ya kuweka serilali na mamlaka.
Jana ulipokuwa Tanga na hao Wakuu wa vikosi vya JWTZ hakuna chama kingine cha upinzani ulichokitamka zaidi ya CHADEMA. Ulitamka kwa kutoa nasaha kuwa JWTZ isitumike kisiasa na CHADEMA...
Lakini Tambua kuwa hii sio CHADEMA. Bali ni CHADEMA inayoongozwa Tundu Antipasi Lissu. Hanunuliki, haongwi na wala hana njaa kama ile CHADEMA ya Mbowe.
Kwa Mantiki hiyo uwe unatamka kuwa hii ni CHADEMA ya Lissu
Ndio maana yake 😄😄😁😆Kwamba jeshi lisitumike kusiasa na CHADEMA, bali liendelee kutumika kisiasa na CCM?
SI walikuwa wanaunguza nchi wajameni“Mh Rais ukiwa unaitamka CHADEMA uwe unasema CHADEMA ya Lissu. Hii sio ile CHADEMA ya Mbowe mliiozea”
Huu nao ni unafiki mwengine,unamuita samia ”Muheshimiwa” huku ukijua wazi mikono yake inachuruzika damu za Watanganyika wasiokuwa na hatia aliowauwa?ana uheshimiwa gani huyo au ndiyo kufuata protocol.
Acha uongo na uduanziCHADEMA NDIO WAASISI WA FUJO NA MACHAFUKO YA KUELEKEA NA MPAKA KWENYE UCHAGUZI NA BAADA YA UCHAGUZI. EMBU FIKIRIA KAZI WANAZOFANYA MITANDAONI VIJANA KAMA AKINA HILDA NEWTON NA TWAHA MWAIPAYA , JE HAWA WATU WANAHAMASISHA NINI ? PROPAGANDA WANAZOLETA ZA WANAJESHI NA KUZISAMBAZA KUWA JESHI LIKO NA WANANCHI, CHADEMA NI UPANDE WA UHANAHARAKATI WA MAPINDUZI KWA SERIKALI, SIASA YAO NI MBAYA KWA TAIFA LETU , NA JESHI LETU LIEUPUKE NA WATU NA SIASA HIZI KWA UJUMLA. LISSU ANGEKUWA URAIANI PAKA SASA UNADHANI NI MADHARA YAPI ANGEFANYA KWA UNUKISHAJI WAKE ? HIYO CHADEMA YA JUZI , JANA AU LEO PAMOJA NA CCM ZOTE ZATAKIWA KUKAA MBALI NA JESHI. ILA CHADEMA NI WATU HATARI KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU .
Inatakiwa ufiche upumbavu wako hatPumbaff chawa umeandika pumba tupu.
Kwanza ameongea kama nani?Jana ulikuwa Tanga na wakuu wa vikosi vya JWTZ. Ni mkutano muhimu na mkubwa kwa taifa lefu.
Japokuwa sio sana kwa maana mamlaka ya kutawala nchi hii yanatoka kwa wananchi na wala sio Jeshi wala vyombo vya usalama na majeshi. Ibara ya 8(1)(a) imetanabaisha wazi . Wananchi ndio wana mamlaka ya kuweka seikali na mamlaka.
Jana ulipokuwa Tanga na hao Wakuu wa vikosi vya JWTZ hakuna chama kingine cha upinzani ulichokitamka zaidi ya CHADEMA. Ulitamka kwa kutoa nasaha kuwa JWTZ isitumike kisiasa na CHADEMA...
Lakini Tambua kuwa hii sio CHADEMA. Bali ni CHADEMA inayoongozwa Tundu Antipasi Lissu. Hanunuliki, haongwi na wala hana njaa kama ile CHADEMA ya Mbowe.
Kwa Mantiki hiyo uwe unatamka kuwa hii ni CHADEMA ya Lissu
CHADEMA imekuwa ya Lissu? Nikidhani ni ya wanachama ambao miongoni mwao wako Lissu Mbowe na wengine wengine. Inaongozwa na Lissu lakini sio yake.Jana ulikuwa Tanga na wakuu wa vikosi vya JWTZ. Ni mkutano muhimu na mkubwa kwa taifa lefu.
Japokuwa sio sana kwa maana mamlaka ya kutawala nchi hii yanatoka kwa wananchi na wala sio Jeshi wala vyombo vya usalama na majeshi. Ibara ya 8(1)(a) imetanabaisha wazi . Wananchi ndio wana mamlaka ya kuweka seikali na mamlaka.
Jana ulipokuwa Tanga na hao Wakuu wa vikosi vya JWTZ hakuna chama kingine cha upinzani ulichokitamka zaidi ya CHADEMA. Ulitamka kwa kutoa nasaha kuwa JWTZ isitumike kisiasa na CHADEMA...
Lakini Tambua kuwa hii sio CHADEMA. Bali ni CHADEMA inayoongozwa Tundu Antipasi Lissu. Hanunuliki, haongwi na wala hana njaa kama ile CHADEMA ya Mbowe.
Kwa Mantiki hiyo uwe unatamka kuwa hii ni CHADEMA ya Lissu
Ni kweli. Hasa inapodili na mapumbaffInatakiwa ufiche upumbavu wako hat
ni ya mercenaries right?Jana ulikuwa Tanga na wakuu wa vikosi vya JWTZ. Ni mkutano muhimu na mkubwa kwa taifa lefu.
Japokuwa sio sana kwa maana mamlaka ya kutawala nchi hii yanatoka kwa wananchi na wala sio Jeshi wala vyombo vya usalama na majeshi. Ibara ya 8(1)(a) imetanabaisha wazi . Wananchi ndio wana mamlaka ya kuweka seikali na mamlaka.
Jana ulipokuwa Tanga na hao Wakuu wa vikosi vya JWTZ hakuna chama kingine cha upinzani ulichokitamka zaidi ya CHADEMA. Ulitamka kwa kutoa nasaha kuwa JWTZ isitumike kisiasa na CHADEMA...
Lakini Tambua kuwa hii sio CHADEMA. Bali ni CHADEMA inayoongozwa Tundu Antipasi Lissu. Hanunuliki, haongwi na wala hana njaa kama ile CHADEMA ya Mbowe.
Kwa Mantiki hiyo uwe unatamka kuwa hii ni CHADEMA ya Lissu
Jana ulikuwa Tanga na wakuu wa vikosi vya JWTZ. Ni mkutano muhimu na mkubwa kwa taifa lefu.
Japokuwa sio sana kwa maana mamlaka ya kutawala nchi hii yanatoka kwa wananchi na wala sio Jeshi wala vyombo vya usalama na majeshi. Ibara ya 8(1)(a) imetanabaisha wazi . Wananchi ndio wana mamlaka ya kuweka seikali na mamlaka.
Jana ulipokuwa Tanga na hao Wakuu wa vikosi vya JWTZ hakuna chama kingine cha upinzani ulichokitamka zaidi ya CHADEMA. Ulitamka kwa kutoa nasaha kuwa JWTZ isitumike kisiasa na CHADEMA...
Lakini Tambua kuwa hii sio CHADEMA. Bali ni CHADEMA inayoongozwa Tundu Antipasi Lissu. Hanunuliki, haongwi na wala hana njaa kama ile CHADEMA ya Mbowe.
Kwa Mantiki hiyo uwe unatamka kuwa hii ni CHADEMA ya Lissu
kamdanganye mama yako makaburini hukoCHADEMA NDIO WAASISI WA FUJO NA MACHAFUKO YA KUELEKEA NA MPAKA KWENYE UCHAGUZI NA BAADA YA UCHAGUZI. EMBU FIKIRIA KAZI WANAZOFANYA MITANDAONI VIJANA KAMA AKINA HILDA NEWTON NA TWAHA MWAIPAYA , JE HAWA WATU WANAHAMASISHA NINI ? PROPAGANDA WANAZOLETA ZA WANAJESHI NA KUZISAMBAZA KUWA JESHI LIKO NA WANANCHI, CHADEMA NI UPANDE WA UHANAHARAKATI WA MAPINDUZI KWA SERIKALI, SIASA YAO NI MBAYA KWA TAIFA LETU , NA JESHI LETU LIEUPUKE NA WATU NA SIASA HIZI KWA UJUMLA. LISSU ANGEKUWA URAIANI PAKA SASA UNADHANI NI MADHARA YAPI ANGEFANYA KWA UNUKISHAJI WAKE ? HIYO CHADEMA YA JUZI , JANA AU LEO PAMOJA NA CCM ZOTE ZATAKIWA KUKAA MBALI NA JESHI. ILA CHADEMA NI WATU HATARI KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU .