Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Nielekeze maana ya deep state mkuu
Kifupi..

Ni chombo tendaji kinacho jumuisha watu kadhaa ambao hufanya kzi kwa usiri wa hali ya juu, watu ambao wanaweza kuamua muelekeo wa nchi, nani ashike madaraka na kwa wakati gani. Utendaji wa hiko chombo unaweza ukajulikana kwa raisi ama usijulikane.

Utendaji wake unaweza kumhusisha raisi mwenyewe bila yeye kujua au huku akijua. Utendaji unaweza kuwa na mikono na nguvu kutoka nje kwenye madhehebu makuu ya kidunia unayoyajua iwe wazee wa novena/vatican au mpaka freemasons.

Ukienda kinyume na plani zao ndio hayo mambo ya execute yanaweza kujitokeza.

swali la msingi je hicho chombo tunacho hapa nchini? Kama kipo nani wahusika? Je wana plan nini juu ya hii nchi? Je raisi aliyepita hakuwafurahisha kwa jambo lipi mpka wam execute? Wanaplan kumweka nani? Na ili aje kutimiza yapi ambayo hayakutimizwa na aliyepita?
 

Kuna rais na kuna urais. Rais ni mtu na urais ni kiti/nafasi na yeyote anaweza kukikalia na kukiacha.Tafakari
 
We jamaa acha kutuweka roho juu.Wewe ni nabii? Mbona Gwajima hajaona?
 
Hii inafikirisha sana dah.
 
Duh! Kwamba makamu wa rais atakayeteuliwa hivi karibuni ndio rais atakayeingia kwa mfumo wa 37(5) kabla ya 2025! Mama waachie urais wao. Mwakani jiuzulu waambie una matatizo ya kiafya unaenda kulea wajukuu. Kama historia utakuwa umeandika.
Wanasiasa hawawezi kuacha kirahisi namna hiyo.. ofisi tamu sana ile.
 
Walianza kwa kuikata nguzo kuu ya mh wa 17/03/2021, yaani waliikata ile nguzo yake mnamo 24/07?

Tarehe 25/07 huwa namkumbuka mla kiapo mmoja akisema, nilikuwa nasogoa na huyu wa 24/07 jana (23/07) jioni, baadaye naambiwa ametutoka, sijui alikwenda kukamilisha execution.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…