Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

kwa hiyo na sisi tunaelekea kufanana na Marekani au....?
 
Sasa kwanini alipaswa kuja kuwa Rais ili afe? Na amekufa ili nchi iwe salama au ndio nchi inaenda mikononi mwa watu wachache
 
navyoona ni kwamba mtu anagombea urais baada ya kuteuliwa na baadhi ya viongozi wa chama
wanategemea uongoze kulingana na matakwa yao pamoja na ya chama kinyume na hapo hio inakua ni stori nyingine
 
Heee! Ulijuaje haya yaliyotokea leo kwenye nchi yetu?
 
Tangu nimejiunga jf hakuna uzi ulionishangaza na kuniacha na mshangao kama uzi huu.

Jamaa siyo mtu wa kawaida,soma hii na ilitokea kweli.
 
[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…