Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Sasa kwanini alipaswa kuja kuwa Rais ili afe? Na amekufa ili nchi iwe salama au ndio nchi inaenda mikononi mwa watu wachache
Ulimwengu wa roho ni mkubwa sana,kwakifupi haya maisha tulishaishi kiroho na sasa tunamalizia kuishi kimwili.Kwakifupi acha machafu kuwa karibu ya Mungu sana.Kuna mambo ninayoyaona nikisema ninayataje watu watanitafuta waniue au wanidhuru lakini hawatayazuia hayo mambo yasitokee kwani yapo kwenye makadirio ya Mungu na lazima yatatokea.Katika nchi hii mimi maharage ya Ukweni ntakuja kuwa kiongozi ila nimefichwa nafasi gani ya uongozi ntaitumikia nchi yangu,kwamazingira niliyokuwa nayo sasa hili swala nikimwambia mtu lazima ataona nimerukwa na akili yaani kibinadamu ni IMPOSSIBLE lakini kwa Mungu ni EASILY POSSIBLE.
 
Funguka mkuu kama mwenzio tumia akili mkuu, au wewe ndio tumia akili mwenyewe 🙁
 
Inavyoonekana kirahisi mama ataendeleza misimamo ya jiwe, wakubwa hawatapenda, watafanya walichokifanya kwa jiwe, na utabiri utatimia.
Survive for fitest haitasubiri huko.

Awe kama jiwe au vinginevyo.

Ni lazima aondoka tu.
 
Hivi jamaa kapotelea wapi... Siku hizi haonekani humu ndani
 
Inavyoonekana kirahisi mama ataendeleza misimamo ya jiwe, wakubwa hawatapenda, watafanya walichokifanya kwa jiwe, na utabiri utatimia.
Hakusema mama kama atadhurika kwa namna yeyote ila amesema mama wa muda tu atapita kwa hyo tutegemee baada ya miaka mnne kupita makamu mtauliwa huenda akauchukua mikoba kwa 2025
 
Hakusema mama kama atadhurika kwa namna yeyote ila amesema mama wa muda tu atapita kwa hyo tutegemee baada ya miaka mnne kupita makamu mtauliwa huenda akauchukua mikoba kwa 2025
ikiwa makamu atagombea 2025 hapo tutakuwa na raisi tuliyempigia kura, jamaa ameongelea kuongozwa na raisi tusiyempigia kura kama alivyo narrate situation ya USA.
 
hearly Deep State ni ni kitu gani hasa hicho?
Ni taasisi ambayo huwa ipo ndani ya serikali kwa Siri yaani hiyo taasisi inakuwa haijulikani kuwa ipo


Hata raisi wanchi anaweza asijue kuwa ipo !? Au akawa anajua lakini Taasisi hiyo inakuwa na mfumo imara ambao hauruhusu taasisi hiyo kuingiliwa na kiongozi yeyote yule wa Nchi kwaajili ya kulinda maslahi yake .Taasisi hiyo kazi yake Dhumuni la uwepo wake ni kulilinda taifa husika at any cost
 
Hakika yametokea japo c USA Bali ni hapa bongo.
 
Kama haipo wewe umejuaje kama ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…