Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Wewe jamaa ni kiboko.ebu tujuze mengine yanayokuja.big up sana mkuu
 
Sijawahi kuujua huu uzi..
Ni hatari sana... kwamba yatatokea huku kwetu... kuna operation imeanza..
Aisee ni hatari tupu
 
Duh! Kwamba makamu wa rais atakayeteuliwa hivi karibuni ndio rais atakayeingia kwa mfumo wa 37(5) kabla ya 2025! Mama waachie urais wao. Mwakani jiuzulu waambie una matatizo ya kiafya unaenda kulea wajukuu. Kama historia utakuwa umeandika.

Tuendelee kulisubiri hili coz ndio lililobakia kuja kutokea
 
Wejamaa huna ujualo na wala hakuna wakufanya hayo mnazimishwa mmoja mmoja au hukuenda kuzika mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…