chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,522
- 2,651
Mbona huu uzi umeibiwa kwa kasi leo ,kuna Nan uko ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi inamambo hii we acha tuu.Mbona huu uzi umeibiwa kwa kasi leo ,kuna Nan uko ?
Sasa mbona kanogewa??Mama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
Wewe jamaa ni kiboko.ebu tujuze mengine yanayokuja.big up sana mkuuWakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Huu Uzi ulimhusu jiwe,Kwamba mpango ajiuzulu alafu riz1 ateuliwe kuwa vp? Aaaah acheni masihara wakuu
Mama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
Duh! Kwamba makamu wa rais atakayeteuliwa hivi karibuni ndio rais atakayeingia kwa mfumo wa 37(5) kabla ya 2025! Mama waachie urais wao. Mwakani jiuzulu waambie una matatizo ya kiafya unaenda kulea wajukuu. Kama historia utakuwa umeandika.
Wachina wana kambi za kijeshi toka utawala Nyerere!!Nasikia Wachina wanaanzisha kambi ya kijeshi nchini, nini maoni yenu kuhusu hili?
zipo wapi acheni uongoWachina wana kambi za kijeshi toka utawala Nyerere!!
Kwahio unafikiri hizo kambi za jeshi ni mbao za matangazo kwa kila mjinga kama wewe ajue zilipo.zipo wapi acheni uongo
Anataka zitangazwe kama vivutio vya watalii[emoji23][emoji23]Kwahio unafikiri hizo kambi za jeshi ni mbao za matangazo kwa kila mjinga kama wewe ajue zilipo.
Ni nani?Mama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.