Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

YAANI Dr Tibazonkiza ajiuzulu KWA kasfa ya Tozo na ushauri mbaya unaoendelea!

Mama ateue makamu Mwingine AMBAYE ndio huyu ninaemfikiria!

Halafu Mama ajiuzulu KWA kushindwa kuendelea KWA kuzira au vinginevyo halafu makamu mpya aapishwe kuwa ndie!!

"Ilitokea Marekani itatokea na huku kwetu"

Na huyo ndio FDR sio!?bas Sawa!!
 
Tough game mwanangu ila inawezekana kama ni mipango ya the supreme God
 
Kwamba mama atateua mtu kushika uVP, then Mama nae atangulie/atangulizwe mbele za haki au ajiuzuru (kwa kulazimishwa nyuma ya pazia) ili huyo VP wa mfukoni atwae Nchi?

Hii Thread ni ya May 2020. Wagagagigikoko! πŸ™‚
Loh😯 bt naamini s100 ndo alitabiriwa.
 
Sikubali Wala sikatai.

Utulivu ktk mchakato wa kumpata VP unafikirisha sana pia.πŸ™ƒπŸ™ƒ.

Bt mwonaji anasema Marekani VP aliukwaa U-CEO Kwa KASHFA ya CEO alieondoshwa.

Muda ni mwalimu. Tusubiri.
 
Ni sahihi
Uongozi wa Mama ni wa mpito.
Mwanamume wa SHOKA ATACHUKUA HATAMU NA ROHO YA MAGUFULI na Uweza wa Mungu UTAKUWA JUU YAKE kuikomboa TANZANIA

NCHI HII IMEJALIWA RASLIMALI NYINGI....lazima zinufaishe Watanzania wote
Ameeeeeeeeeeeeeeen.
 
Kuna watu wachawi sana
 
Sikubali Wala sikatai.

Utulivu ktk mchakato wa kumpata VP unafikirisha sana pia.[emoji854][emoji854].

Bt mwonaji anasema Marekani VP aliukwaa U-CEO Kwa KASHFA ya CEO alieondoshwa.

Muda ni mwalimu. Tusubiri.
Utabiri si wa 2020 na tayari imetukia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…