Rejea "Maono ya Karatasi nyeupe" Uzi wa Tumaini El.Nahisi ulifahamu mpango wa kumdhuru Magufuli na Samia achukue nchi. Hongera umefanikiwa.
Usisahau kutujuza ikiwa Samia atagombea na kusbinda au hatapaewa nafasi ya kugombea.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Analindwa kama Hela😃😃😃Kwani huyo professor bado yupo nchini?
Khaa kwamba we mtabiri? UshindweWakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Sa100 aligombea u-vp, mtoa Uzi anamuongelea ambaye ni VP aliyepo na hakugombea.Utabiri si wa 2020 na tayari imetukia?
Uzi wa HUYU jamaaa wa March 28 mwaka jana unasema "operation Imesitishwa the State wamesema apewe Muda"VP will take the white house within 1 year from right now.
Deep state is working day and night
Naona kama vile fdr itatokea kama huyu aliyepo hatakamilisha ile ya kitabu maana alipewa muda kwenye ile ya operesheni kusitishwa.Uzi wa HUYU jamaaa wa March 28 mwaka jana unasema "operation Imesitishwa the State wamesema apewe Muda"
Lakini ishu ya FDR inachanganya!!
Lakini kuna shada la maua kwenye avarter ya mleta mada tena kaweka 12 September mwaka huu!sijajua kama maua yale ni ya Nini!?ya kwenye jeneza au harusi!!!Naona kama vile fdr itatokea kama huyu aliyepo hatakamilisha ile ya kitabu maana alipewa muda kwenye ile ya operesheni kusitishwa.
Mstaafu naye naona bado anadunda.🤣
DuhLakini kuna shada la maua kwenye avarter ya mleta mada tena kaweka 12 September mwaka huu!sijajua kama maua yale ni ya Nini!?ya kwenye jeneza au harusi!!!
Ishu ya mstaafu kudunda inaweza ikawa walking Dead!si unajua Hao jamaa Wana nyakati zao za kukamilisha mission!Huwa hawachelewi wala kuwahi!!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"
Note: Samia alikuwa mgombea mwenza wa magufuli 2015. Magufuli alipofariki, Samia akamrithi. Hivyo Samia amegombea umakamu 2015, ila hajawahi kugombea urais.Wakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
AiseeTumia akili,
Yule mama wa mipasho akishika nchi Chadema kuchukua nchi itakuwa sawa na keserereka kwenye barafu za mlima K'Njaro.
Muda ganiMama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
Katiba mpya, alitaka mageuzi makubwa mnoo ya kisiasa hapa nchini.Let facts, Nia ipi nzuri.
Aisee!Ulimwengu wa roho ni mkubwa sana,kwakifupi haya maisha tulishaishi kiroho na sasa tunamalizia kuishi kimwili.Kwakifupi acha machafu kuwa karibu ya Mungu sana.Kuna mambo ninayoyaona nikisema ninayataje watu watanitafuta waniue au wanidhuru lakini hawatayazuia hayo mambo yasitokee kwani yapo kwenye makadirio ya Mungu na lazima yatatokea.Katika nchi hii mimi maharage ya Ukweni ntakuja kuwa kiongozi ila nimefichwa nafasi gani ya uongozi ntaitumikia nchi yangu,kwamazingira niliyokuwa nayo sasa hili swala nikimwambia mtu lazima ataona nimerukwa na akili yaani kibinadamu ni IMPOSSIBLE lakini kwa Mungu ni EASILY POSSIBLE.
Hii ilikuwa 24 march 2021Dada Mungu yupo na ukiwa karibu naye sana ukajiepusha na machafu,Mungu atakuficha tu kifo chako.Binafsi hakuna ajali ya ndege inaweza kutokea katika dunia hii mimi nisioteshwe.Tatizo tukitabiri mtuona tumerukwa na akili lakin kama mngekuwa mnafanyia kazi maono yetu mngechukua tahadhari.Lakini maono mengi yanatoka kwa mungu na ni mipango ya mungu so lazima yatimie huwezi kubadilin mpango wa mungu
AhaaajWakuu,