Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
Khaa kwamba we mtabiri? Ushindwe
 
Uzi wa HUYU jamaaa wa March 28 mwaka jana unasema "operation Imesitishwa the State wamesema apewe Muda"

Lakini ishu ya FDR inachanganya!!
Naona kama vile fdr itatokea kama huyu aliyepo hatakamilisha ile ya kitabu maana alipewa muda kwenye ile ya operesheni kusitishwa.

Mstaafu naye naona bado anadunda.🤣
 
Lakini kuna shada la maua kwenye avarter ya mleta mada tena kaweka 12 September mwaka huu!sijajua kama maua yale ni ya Nini!?ya kwenye jeneza au harusi!!!

Ishu ya mstaafu kudunda inaweza ikawa walking Dead!si unajua Hao jamaa Wana nyakati zao za kukamilisha mission!Huwa hawachelewi wala kuwahi!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"
 
Duh
 
May litakuja kutokea tena USA tena na sio hapa kwetu kama watu wanavyowaza.
.
.
.
Na kama ni hapa nadhani Ntibazokiza atajiuzulu kwa kashfa kipindi akiwa WF then atachaguliwa mwingine ambaye bahati itamdondokea kukawa usiku kukawa mchana akawa Rais
 
Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
Note: Samia alikuwa mgombea mwenza wa magufuli 2015. Magufuli alipofariki, Samia akamrithi. Hivyo Samia amegombea umakamu 2015, ila hajawahi kugombea urais.
Good luck (ktk betting yako).
 
Ulimwengu wa roho ni mkubwa sana,kwakifupi haya maisha tulishaishi kiroho na sasa tunamalizia kuishi kimwili.Kwakifupi acha machafu kuwa karibu ya Mungu sana.Kuna mambo ninayoyaona nikisema ninayataje watu watanitafuta waniue au wanidhuru lakini hawatayazuia hayo mambo yasitokee kwani yapo kwenye makadirio ya Mungu na lazima yatatokea.Katika nchi hii mimi maharage ya Ukweni ntakuja kuwa kiongozi ila nimefichwa nafasi gani ya uongozi ntaitumikia nchi yangu,kwamazingira niliyokuwa nayo sasa hili swala nikimwambia mtu lazima ataona nimerukwa na akili yaani kibinadamu ni IMPOSSIBLE lakini kwa Mungu ni EASILY POSSIBLE.
Aisee!
 
Dada Mungu yupo na ukiwa karibu naye sana ukajiepusha na machafu,Mungu atakuficha tu kifo chako.Binafsi hakuna ajali ya ndege inaweza kutokea katika dunia hii mimi nisioteshwe.Tatizo tukitabiri mtuona tumerukwa na akili lakin kama mngekuwa mnafanyia kazi maono yetu mngechukua tahadhari.Lakini maono mengi yanatoka kwa mungu na ni mipango ya mungu so lazima yatimie huwezi kubadilin mpango wa mungu
Hii ilikuwa 24 march 2021
 
Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
Ahaaaj
 
Back
Top Bottom