Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Mkuu kama unao ufahamu wa masuala ya ndoto na katika mada ile nilieleza kuwa naweza kuliona jambo kwenye ulimwengu wa roho lakini ikachukua muda kutokea.

Haya mambo hatuyaandiki kwa majivuno, dharau na kujionyesha ndio maana haturudi kuelezea zaidi yanapotokea.

Ila nikuambie tu Dr Abdala Kigoda na Samuel Sita walitutoka kama post ile ilivyoeleza bila kumtaja mtu.

Ni vyema kujivika unyenyekevu.
Twambie Mwaka huu nini kitatokea ndugu mtaalam
 
Tuishie hapa mkuu!sitaki kuongeza neno!hii ndio original plan iliyositishwa baada ya yule kuitwa na juzi waliifufua Tena kupitia ka uzi kao ka "usaliti wa jemadari wa marekani" Sasa mlolongo was haha matukio unaweza kutuletea makam mwingine akachukua baada ya ntibazonkiza kujiuzulu nafasi yake!!

Nawaza tu mkuu!!
Anajiuzuluje sasa wakati yeye ndiye bibi kilebwe wa giningi
 
Mkuu we ulijuaje kua JPM atakufa na Chura kiziwi atatwaa nchi kirahisi hivi,na kuongoza kama anavowaongoza man'gombe
Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
 
Back
Top Bottom