STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,267
Uzi upi huo? Nitag pleaseHii comment nikiunganisha na ule Uzi wa brother ,naona kabisa mbele kuna neema

Mkeka bado unapumuaKuna dalili za mambo kama haya kutokea huku kwetu kwa viashiria vipi?
Maza kakazaTumia akili,
Yule mama wa mipasho akishika nchi Chadema kuchukua nchi itakuwa sawa na keserereka kwenye barafu za mlima K'Njaro.
Sasa ndio anatengeneza upenyo kwa wapinzani bila kufahamu.Maza kakaza
Julai baada ya bunge kuvunjwa tutajua.Huyu mama anapita au ni mkaaji hadi awamu mbili zikamilike?
JF ni msitu mnene kaa kwa kutuliaHizi duwah na ramli huwa zinaniwazisha sana! Kuna kitu watanzania wanatamani kitokee!!
Inshallah kitatokea.Hizi duwah na ramli huwa zinaniwazisha sana! Kuna kitu watanzania wanatamani kitokee!!
Atatoboa na wakali wa ufufuo na uzima?Mkeka bado unapumua
Kiongozi wa less than a yr🤔update
Wakuu
Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo
1. Inahusiana na wewe kubaki bila kuondoka. Utaelewa vizuri katika wakati sahihi.
2. Utasimamia kufutwa kwa sheria ya kutoshtakiwa isipokuwa kwa mkuu kwa maamuzi aliyofanya akiwa madarakani ikiwa sio ya kijinai.
3. Hakutakuwa tena na mafao ya kudumu kwa viongozi wastaafu wala wenzi wao. Kila mmoja achangie kwenye mifuko ya pensheni.
4. Idadi ya wabunge iwe sawa na idadi ya halmashauri na mbunge lazima awe na masters degree.
5. Madiwani wawe idadi sawa na idadi ya kata na lazima diwani aanzie digrii moja na kuendelea. Madiwani wawe na mishahara rasmi.
6. Bunge liwe taasisi huru kama muhimili na utaratibu wa kujiendesha uwe nje ya usimamizi wa executive. Bunge liwe na mamlaka binafsi kwenye utendaji wake wa kazi.
7. Hapatakuwa tena na wakuu wa mikoa, ras, wakuu wa wilaya na das. Halmashauri ziongozwe na wakurugenzi kitaalamu na lazima wawe na masters na wapate kazi kwa kuomba na kufanyiwa usaili.
8. Posho zote zifutwe mara moja maana ndio chanzo cha matumizi holela na yasiyokuwa na tija katika taifa. Mishahara iboreshwe.
9. Kila mfanyakazi wa serikali ajitegemee kwa usafiri kama ilivyo kwa sekta binafsi isipokuwa kwa safari za kikazi hivyo magari yanayotumiwa kuwachukua na kuwapeleka watu majumbani yaondolewe.
10. Mgombea ubunge/udiwani/urais na mtu yeyote anayemsapoti asichangie kwenye kampeni zaidi ya kiwango fulani kitakachopendekezwa. Wagombea wapate support kutoka kwa raia kama kweli wanakubalika.
11. Wawajibishwe wote waliohusika na mashambulizi na mauaji ya watu mbalimbali kwa miaka ya hivi karibuni.
12. Fedha zilizokuwa zinatumika kulipa wakuu wa mikoa/wilaya, ras/das pamoja na ofisi zao zielekezwe kwenye kilimo na viwanda ili kuajiri vijana na kukuza uchumi.
13. Katiba ya Warioba ifanyiwe marekebisho kidogo sawa na andiko hili na ipitishwe kuwa rasmi kwa kura ya maoni.
14. Tume huru ya uchaguzi iundwe itakayojiendesha nje ya mfumo wa siasa. Mwenyekiti apatikane kwa kuomba nafasi, kufanyiwa usaili na kuthibitishwa na bunge.
15. Mtu asikamatwe wala kufunguliwa mashtaka kabla ushahidi haujakamilika isipokuwa kwa makosa ya jinai kama mauaji, ujambazi, ubakaji nk
16. Wizara ziwe fixed kwa idadi na taasisi zipelekwe huko kama idara ili kuondoa msururu wa tozo wanazolipishwa wafanyabiashara na wawekezaji kwa kigezo cha uwepo wa vibali vya mamlaka mbalimbali.
17. Kodi zifahamike kwa uwazi na kuondoa malipo mengine yote ya halmashauri. Boresha mazingira ya kufanya biashara kuvutia uwekezaji zaidi.
18. Jenga kiwanda chetu cha gesi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na viwandani maana soko ni la uhakika likiwemo lile la nje
19. Jeshi la polisi lifutwe na kuundwe usalama wa raia kama taasisi itakayolinda raia na mali zao na uongozi wake upatikane kwa uteuzi wa baraza la usalama la taifa na kuthibitishwa na bunge.
20. Pasiwepo na wizara chini ya rais bali ofisi yake isimamie wizara zote na halmashauri zisimamiwe na wizara.
21. Makamu wa rais afanye kazi ya kusimamia shughuli za kila siku za serikali, ofisi ya waziri mkuu ifutwe.
22. Rais akishindwa kuendelea na majukumu yake kwa kifo, kujiuzulu au tatizo la kiafya, bunge litapiga kura kumchagua raisi atakayetoka miongoni mwa wabunge watakaoomba. Makamu wa rais aruhusiwe kuomba.
23. Mahakama ijiendeshe kwa kujitegemea na uongozi wake upatikane kwa kuomba nafasi, usaili na kuthibitishwa na bunge.
24. Usalama wa taifa iwe taasisi inayojiendesha kwa weledi na kujitegemea na uongozi wake upatikane kwa mtu kupendekezwa na baraza la usalama na kuthibitishwa na bunge.
25. Hapatakuwa tena na uteuzi wa nafasi yoyote utakaofanywa na serikali kwa wakuu wa taasisi na mashirika ya uma zikiwemo bodi. Watu waombe, wafanyiwe usaili na kuthibitishwa na bunge.
26. Asiwepo mtu yeyote atakayezuia uhuru wa maoni kwa namna yoyote ile isipokuwa kwa mtu anayetukana. Maoni mengine yote yawe huru kwa kila mtu.
27. Serikali ipime ardhi yote ya nchi na kuhakikisha hati zinatolewa. Aidha kuwepo na standard za ukubwa wa ardhi unaotolewa inayoruhusiwa kupata hati.
28. Kusiwepo tena na mauzo ya mazao ghafi kwenda nje ya nchi na wageni wasiruhusiwe kwenda kwa wakulima bali kuwe na masoko ya kimataifa maeneo ya mipakani.
29. Serikali ifute mara moja utaratibu wa mabenki na taasisi nyingine za kifedha kuwakopesha wananchi mikopo binafsi inayolipwa kwa mishahara. Benki zikopeshe biashara na kuchochea ukuaji wa uchumi.
30. Mpango wa makazi rasmi uanze mara moja ili kuondoa uholela wa makazi unaoendelea nchi nzima ambapo watu wanajenga baada ya kuuziana vipande vya ardhi.
Utahitaji kuwa na wafanyakazi wengi kama sasa hivi au upunguze wabaki wachache wanaolipwa vizuri na kuleta tija? Hilo pia utalifanyia kazi ili ajira nyingi zitokee kwenye sekta binafsi.
Natangulia kukutakia kazi njema.
Umewaza kwenda mbele miaka 25 zaidi safi sana,nami naongezea kuhusu mfumo wa elimu watoto waanze kindagateni wakiwa na miaka 3 huko wakafundishwe kuimba wacheze pamoja na Michezo mbalimbali kuwa fanya wawe active na waende shule saa 3 asbh warudi makwao saa 9.kindagateni wafundishwe kucheza kuimba kuongea na Heshima na vitu vinavyofaa watoto na WA some miaka 4 tu... Shule ya msingi watoto waanze na miaka 7 na 8 na WA some kwa miaka 6 tu inatosha n huko elimu izingatie zaidi uwezo wa watoto kusoma kuandika na kuhesabu huo ndio msingi wa elimu Bora ,,,na secondary wasome miaka 4 tu baada ya hapo waende chuo Cha kati kwa miaka miwili na akitoka chuo Cha kati ndio mwenye kwenda chuo kikuuu aende na iwe ni Sheria kwa Kila kijana kufikia ngazi ya chuo Cha kati na hapo wafike wakiwa na miaka kati ya 20 Hadi 22 tu.Muda wa kwenda shule iwe ni kuanzia saa 3 asbh na kutoka shule iwe ni saa 9 mchana hakuna haja ya kukaa na watoto mpaka usiku. Na Kila kata iwe na shule zaidi ya mbili ili watoto wasiende kusoma mbali na makwao hiyo ni kwa usalama na kulinda muda na nguvu.update
Wakuu
- May 22, 2025
Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo
1. Inahusiana na wewe kubaki bila kuondoka. Utaelewa vizuri katika wakati sahihi.
2. Utasimamia kufutwa kwa sheria ya kutoshtakiwa isipokuwa kwa mkuu kwa maamuzi aliyofanya akiwa madarakani ikiwa sio ya kijinai.
3. Hakutakuwa tena na mafao ya kudumu kwa viongozi wastaafu wala wenzi wao. Kila mmoja achangie kwenye mifuko ya pensheni.
4. Idadi ya wabunge iwe sawa na idadi ya halmashauri na mbunge lazima awe na masters degree.
5. Madiwani wawe idadi sawa na idadi ya kata na lazima diwani aanzie digrii moja na kuendelea. Madiwani wawe na mishahara rasmi.
6. Bunge liwe taasisi huru kama muhimili na utaratibu wa kujiendesha uwe nje ya usimamizi wa executive. Bunge liwe na mamlaka binafsi kwenye utendaji wake wa kazi.
7. Hapatakuwa tena na wakuu wa mikoa, ras, wakuu wa wilaya na das. Halmashauri ziongozwe na wakurugenzi kitaalamu na lazima wawe na masters na wapate kazi kwa kuomba na kufanyiwa usaili.
8. Posho zote zifutwe mara moja maana ndio chanzo cha matumizi holela na yasiyokuwa na tija katika taifa. Mishahara iboreshwe.
9. Kila mfanyakazi wa serikali ajitegemee kwa usafiri kama ilivyo kwa sekta binafsi isipokuwa kwa safari za kikazi hivyo magari yanayotumiwa kuwachukua na kuwapeleka watu majumbani yaondolewe.
10. Mgombea ubunge/udiwani/urais na mtu yeyote anayemsapoti asichangie kwenye kampeni zaidi ya kiwango fulani kitakachopendekezwa. Wagombea wapate support kutoka kwa raia kama kweli wanakubalika.
11. Wawajibishwe wote waliohusika na mashambulizi na mauaji ya watu mbalimbali kwa miaka ya hivi karibuni.
12. Fedha zilizokuwa zinatumika kulipa wakuu wa mikoa/wilaya, ras/das pamoja na ofisi zao zielekezwe kwenye kilimo na viwanda ili kuajiri vijana na kukuza uchumi.
13. Katiba ya Warioba ifanyiwe marekebisho kidogo sawa na andiko hili na ipitishwe kuwa rasmi kwa kura ya maoni.
14. Tume huru ya uchaguzi iundwe itakayojiendesha nje ya mfumo wa siasa. Mwenyekiti apatikane kwa kuomba nafasi, kufanyiwa usaili na kuthibitishwa na bunge.
15. Mtu asikamatwe wala kufunguliwa mashtaka kabla ushahidi haujakamilika isipokuwa kwa makosa ya jinai kama mauaji, ujambazi, ubakaji nk
16. Wizara ziwe fixed kwa idadi na taasisi zipelekwe huko kama idara ili kuondoa msururu wa tozo wanazolipishwa wafanyabiashara na wawekezaji kwa kigezo cha uwepo wa vibali vya mamlaka mbalimbali.
17. Kodi zifahamike kwa uwazi na kuondoa malipo mengine yote ya halmashauri. Boresha mazingira ya kufanya biashara kuvutia uwekezaji zaidi.
18. Jenga kiwanda chetu cha gesi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na viwandani maana soko ni la uhakika likiwemo lile la nje
19. Jeshi la polisi lifutwe na kuundwe usalama wa raia kama taasisi itakayolinda raia na mali zao na uongozi wake upatikane kwa uteuzi wa baraza la usalama la taifa na kuthibitishwa na bunge.
20. Pasiwepo na wizara chini ya rais bali ofisi yake isimamie wizara zote na halmashauri zisimamiwe na wizara.
21. Makamu wa rais afanye kazi ya kusimamia shughuli za kila siku za serikali, ofisi ya waziri mkuu ifutwe.
22. Rais akishindwa kuendelea na majukumu yake kwa kifo, kujiuzulu au tatizo la kiafya, bunge litapiga kura kumchagua raisi atakayetoka miongoni mwa wabunge watakaoomba. Makamu wa rais aruhusiwe kuomba.
23. Mahakama ijiendeshe kwa kujitegemea na uongozi wake upatikane kwa kuomba nafasi, usaili na kuthibitishwa na bunge.
24. Usalama wa taifa iwe taasisi inayojiendesha kwa weledi na kujitegemea na uongozi wake upatikane kwa mtu kupendekezwa na baraza la usalama na kuthibitishwa na bunge.
25. Hapatakuwa tena na uteuzi wa nafasi yoyote utakaofanywa na serikali kwa wakuu wa taasisi na mashirika ya uma zikiwemo bodi. Watu waombe, wafanyiwe usaili na kuthibitishwa na bunge.
26. Asiwepo mtu yeyote atakayezuia uhuru wa maoni kwa namna yoyote ile isipokuwa kwa mtu anayetukana. Maoni mengine yote yawe huru kwa kila mtu.
27. Serikali ipime ardhi yote ya nchi na kuhakikisha hati zinatolewa. Aidha kuwepo na standard za ukubwa wa ardhi unaotolewa inayoruhusiwa kupata hati.
28. Kusiwepo tena na mauzo ya mazao ghafi kwenda nje ya nchi na wageni wasiruhusiwe kwenda kwa wakulima bali kuwe na masoko ya kimataifa maeneo ya mipakani.
29. Serikali ifute mara moja utaratibu wa mabenki na taasisi nyingine za kifedha kuwakopesha wananchi mikopo binafsi inayolipwa kwa mishahara. Benki zikopeshe biashara na kuchochea ukuaji wa uchumi.
30. Mpango wa makazi rasmi uanze mara moja ili kuondoa uholela wa makazi unaoendelea nchi nzima ambapo watu wanajenga baada ya kuuziana vipande vya ardhi.
Utahitaji kuwa na wafanyakazi wengi kama sasa hivi au upunguze wabaki wachache wanaolipwa vizuri na kuleta tija? Hilo pia utalifanyia kazi ili ajira nyingi zitokee kwenye sekta binafsi.
Natangulia kukutakia kazi njema.
Operation ilisitishwa Ili mtajwa afanye Remedy ya Yale aliyofanya mtangulizi wake ikiwemo kuandika katiba mpya kabla ya uchaguzi serikali za mitaa na uchaguzi mkuu!!Maza kakaza
Mwalimu by professional! Duh 😆😆ambae hatujui no nani !japo hints zinasema no Mwalimu by professional!!
Tuendelee kusubiri!
Yaliyotabiriwa yalitimia na sasa tunasubiri uchaguzi je utabiri wako utatimia??Tumia akili,