Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Upo hai au ulivuta pamoja na jiwe?😆
Upo hai au ulivuta pamoja na jiwe?😆
Do you exist? Au ulishavuta Masta😀...hamna lolote mbwembwe tu
Mambo YakatimiaDo you exist? Au ulishavuta Masta😀
Kuna Uzi mpya kandika Juzi akimueleza Brother nini chakufanya, Sasa sijui ni kaka yupi uyoHuyu jamaa sijui kaacha Kulala maana sijaona akisimulia tena njozi zake...🤔
Naomba nitagi mkuu....Kuna Uzi mpya kandika Juzi akimueleza Brother nini chakufanya, Sasa sijui ni kaka yupi uyo
Mama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
What's happening ?Its happening..
Isidori MpangoWakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Ndiye aliyetabiriwa humu.Kuna Uzi mpya kandika Juzi akimueleza Brother nini chakufanya, Sasa sijui ni kaka yupi uyo
Aliyejiuzulu = Dr MpangoWakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Kamdomo...hamna lolote mbwembwe tu
Tumia akili wewe🤣🤣🤣Mama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
😳Mama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.