James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,529
- 16,291
Nikitaka kufikirisha kichwa natafuta mada za huyu jamaa.
As if anayafanya yeye he saw many things coming
As if anayafanya yeye he saw many things coming
Daah Uzi ulikuwa na like 231 na seen zaidi ya 2m...nadhani mods wanaweza kuufuta sasa..maana mtoa mada alisema soon..Anayeamua maisha yetu ni AllahWakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Daah Uzi ulikuwa na like 231 na seen zaidi ya 2m...nadhani mods wanaweza kuufuta sasa..maana mtoa mada alisema soon..Anayeamua maisha yetu ni Allah
Huu ulikuwa ni wakipindi Cha mwendazakeDaah Uzi ulikuwa na like 231 na seen zaidi ya 2m...nadhani mods wanaweza kuufuta sasa..maana mtoa mada alisema soon..Anayeamua maisha yetu ni Allah
Sasa mpaka Leo maana mission impossible..@moderator ufuteni huu uziHuu ulikuwa ni wakipindi Cha mwendazake
Sasa mpaka Leo maana mission impossible..@moderator ufuteni huu uzi
Si ndo maana nashauri Uzi ufutwe?Mission impossible vipi wakati alibashiri mwenzake kufa na kweli ikatokea akafia madarakani
Sema alicho feli ni katika thread zake zilizo fuata , Alibashiri sa100 atakua Raisi wa mpito but mission failed na pia alibashiri kuwa Mzee wa msoga atapokonywa power aliyonayo pia imeshindikana
😁😁Si ndo maana nashauri Uzi ufutwe?
Hawa mapimbi walimuua Magufuli ili wajilie kilaini...Trump tena? Hii ni huku mkuu.
Daah sawaHawa mapimbi walimuua Magufuli ili wajilie kilaini...
Ona wanavyofaidi sasa hivi...
Nchi inaliwa kila sehemu na ufisadi - kenge zipo kimya
Nchi inafitinishwa kidini - hizi kenge zipo kimya
Eti hizi kenge zinajiita "the state"
Maanina.
Nakazia25/8/2026
Makamu atakayechukua nafasi ya nchimbi ndiye atakuwa Rais.
Hapo ndipo tunakuja na conclusion ya huu uzi wa
10/5/2020
Baada ya miaka 6 na safari ya mwaka 1 kutimia.
Alipaswa kuwa yule Muha naona ngoma ikagoma25/8/2026
Makamu atakayechukua nafasi ya nchimbi ndiye atakuwa Rais.
Hapo ndipo tunakuja na conclusion ya huu uzi wa
10/5/2020
Baada ya miaka 6 na safari ya mwaka 1 kutimia.