Jamaa ana maono makubwa sana. Na yanahitaji akili kubwa sana.Nikitaka kufikirisha kichwa natafuta mada za huyu jamaa.
As if anayafanya yeye he saw many things coming
Utabiri huchukua mda mrefu.Sasa mpaka Leo maana mission impossible..@moderator ufuteni huu uzi
Baado hii mission ni impossible?Mission impossible vipi wakati alibashiri mwenzake kufa na kweli ikatokea akafia madarakani
Sema alicho feli ni katika thread zake zilizo fuata , Alibashiri sa100 atakua Raisi wa mpito but mission failed na pia alibashiri kuwa Mzee wa msoga atapokonywa power aliyonayo pia imeshindikana
Tumia akili,
Yule mama wa mipasho akishika nchi Chadema kuchukua nchi itakuwa sawa na keserereka kwenye barafu za mlima K'Njaro.
Ngoja nirudie kusoma huu Uzi ila naona uko nje ya maonoNikitaka kufikirisha kichwa natafuta mada za huyu jamaa.
As if anayafanya yeye he saw many things coming
Uzi usha expire ufutwe tuDaah Uzi ulikuwa na like 231 na seen zaidi ya 2m...nadhani mods wanaweza kuufuta sasa..maana mtoa mada alisema soon..Anayeamua maisha yetu ni Allah
kanaseamje ako kavideo? link unayo?Kuna ka video ka sangoma wa Kenya naona kanazurura but, tukutane twenti 2seveni