Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Baado hii mission ni impossible?
 
mambo ni mazito haya,kwa ninavyoona inawezekana ema kujiuzuru ni mpango maalumu ili aje VP ambye anapaswa kushika kijiti, huyu no1 inawezekana akapelekewa moto na akajiuzulu kabla ya029 ,ili mambo yaendelee kuwa upande wao.zile kauli za ema si za bahat mbya na wala si kwamba anaumizwa na mambo yaliyotukumba watanganyika ila n mpango maalum,. ukilejea maneno alowahi kuyasema polepole kuhusu ema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…