Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
Code coded uncoded
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii kenge huwa inajifanya kutabiri vifo vya watu

Kumbe nyuma ya pazia iko kwenye mipango ya kufanya mauaji

Siku yako itafika.
 
Hizi sijazipata mkuu, wanaanzisha maeneo gani hapa nchini? Kaazi kweli kweli.
Tetesi zipo kitambo mbona, ila currently nadhani kambi itakuwa sambamba na ujenzi wa bandari ya Bagamoyo.

Inasemekana kuwa kwenye bandari hapo hapo ndo itakuwapo base yao (Navy) hivyo vitu kama ku-repair meli zao za kivita nk vitafanyika hapo.

Pia tetesi zinasema kuna gesi wanailenga (probably maeneo hayo kuna gesi au ile ya kusini).

Kiufupi kuna mambo mengi kwenye hiyo bandari ambayo watu hawayasemi.
 
Miaka ile juma nature alishawahi kuimba
"Tembea mwendo wa pesa nchi ishauzwa hii" nyimbo inaitwa "ya leo kali"........

Naona yanatimia sasa
 
Back
Top Bottom