Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Ni mtu ambaye yupo jikoni sio karama za unajimu. But ninavyoona game is can change.
Hapana,
Huyu jamaa si mara ya kwanza kutabiri vifo kwa viongozi,
Binafsi ninachoamini hayati amekufa natural death hakuuwawa.
Hawa watu wapo,nina mama yangu mdogo akiota fulani kafa mjiandae hajawahi kukosea
 
Kwamba mama atateua mtu kushika uVP, then Mama nae atangulie/atangulizwe mbele za haki au ajiuzuru (kwa kulazimishwa nyuma ya pazia) ili huyo VP wa mfukoni atwae Nchi?

Hii Thread ni ya May 2020. Wagagagigikoko! 🙂

Mh!!!
 
Hapana,
Huyu jamaa si mara ya kwanza kutabiri vifo kwa viongozi,
Binafsi ninachoamini hayati amekufa natural death hakuuwawa.
Hawa watu wapo,nina mama yangu mdogo akiota fulani kafa mjiandae hajawahi kukosea
Mkuu mtabiri wa kweli hutabiri mwisho wa mtu.
Bila kujali atauawa au ni natural death.
Kifo ni kifo tu
 
Back
Top Bottom