Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshaanza ziara yake huko!!!japo hatujui kama ndie fdr!!!Kwa hiyo Mpango atakuwa Rais kabla ya 2025.
Na anatoa maagizo kama yote!!Ameshaanza ziara yake huko!!!japo hatujui kama ndie fdr!!!
Kwa hiyo wasukuma wameamua kulipa kisasi?Na anatoa maagizo kama yote!!
ziara ameianza wapi?Ameshaanza ziara yake huko!!!japo hatujui kama ndie fdr!!!
ok okKwa hiyo Mpango atakuwa Rais kabla ya 2025.
Ngoja tuone kinachoendelea. Hata wakati ule nilisema huu uzi usipuuziwe!!Kwa hiyo wasukuma wameamua kulipa kisasi?
Waachwe huko huko mafichoni!!Watu kama nyie mnatakiwa kutafutwa kwaajili ya kusaidia upelelezi.
Kwa hiyo Mpango atakuwa Rais kabla ya 2025.
Wakili msomi Pascal Mayalla alishatoa somo kuhusu prophet of the doomNgoja tuone kinachoendelea. Hata wakati ule nilisema huu uzi usipuuziwe!!
Wasukuma walipe kisasi kwan wamefanywa nn 😀Kwa hiyo wasukuma wameamua kulipa kisasi?
We jamaaunataka tuminywe kende!!!?Watu kama nyie mnatakiwa kutafutwa kwaajili ya kusaidia upelelezi.
Lakini kalikuja na nyuzi tatu baada ya huo wa uperation kusitishwa!ambazo ni;-Haka kajamaa Tumia akili kangese sana kalivyoona Jiwe amezikwa kweli kakaja na uzi humu kuwa operation ya kumuondoa aliyepo imesitishwa. Ila hayati jiwe alikufa kifara sana sijui alikuwa kapigwa upofu gani au zile helicopter & mibunduki kwenye ziara zake za kuzindua vyoo vya stand za mabus ndizo zilimfanya akawa anahisi yuko salama
Sasa hivi GENTAMYCINE anasema mama anarandaranda Duniani kusaka tiba ya ugonjwa usiojulikanaLakini kalikuja na nyuzi tatu baada ya huo wa uperation kusitishwa!ambazo ni;-
1.franklin D Roosevelt na utawala wa miaka 12 ndani ya Tanzania
2.mstaafu alikwisha kustaafu lakini hataki kustaafu kustaafishwa!
3.kitabu kilichoandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa kwa hesabu hii!!
Sasa hatujui kulikoni hadi sasa!!
Mkuu kwani anaumwa!!!?Sasa hivi GENTAMYCINE anasema mama anarandaranda Duniani kusaka tiba ya ugonjwa usiojulikana
nalazimika kuhisi ni hivyo,japo Sina uhakika !!! Haka ka jamaa tumia akili,sio ka kubeza ,kanajua mengi !!Mkuu kwani anaumwa!!!?