Rais ana uwezo wa kuifuta sheria ya vyama vya siasa (Na. 5 ya 1992) inayoruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa?

Rais ana uwezo wa kuifuta sheria ya vyama vya siasa (Na. 5 ya 1992) inayoruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa?

SWALI JE, RAIS ANAUWEZO WA KUIFUTA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA (NA. 5 YA 1992) INAYORUHUSU MIKUTANO MIKUTANO YA HADHARA? KAMA JIBU NI NDIYO, SHERIA IPI NYINGINE ANA MADARAKA YA KUIFUTA BILA KUSHIRIKISHA BUNGE?
Kwenye nchi zinazo heshimu utawala wa sheria na wanainch wake wanajitambua, hawezi lakini katika nchi ambazo aziheshimu utawala wa sheria na tamko la rais ndiyo sheria kama tz anaweza
 
Sina uhakika ila Mamlaka aliyonayo Raisi wa Tanzania ni kama ya Kifalme anaweza kuamuru Wapinzani wauwawe hadharani labda baadae Mahakama za Kimataifa ndio zitazomtia Hatiani

Ndio maana Mwendazake alijaribu kuua na kupoteza na kutesa Watu huku akipigiwa makofi na kuombwa awe Raisi wa maisha.kama Hayati Hastings Kamuzu Banda.
 
Aliye chomekea fomula hii
Alaaniwe
Ondoeni vyama vingi mubaki wenyewe
Aibu kabisa!!!!
 
Hana mamlaka hayo kwa sababu haki ya kufanya mikutano ya kisiasa siyo tu kwamba ni haki ya kikatiba bali pia ni universal declaration of human rights.Mleta uzi umeelewa?
109_20210628_200150.jpg
 
Kwa kweli inasikitisha na inahuzunisha. Karne ya 21 Tanzania bado tunaishi kwa matamko ya mtu, tena matamko yanayoibaka katiba!!!? Lol

Bado watanzania wanafiki wataendelea kumsfia mama kinafiki badala ya kumwambia ukweli.

Siku akitoka madarakani rais mwingine atakuja na swaga ya re-branding Tanzania.
 
Back
Top Bottom