SWALI JE, RAIS ANAUWEZO WA KUIFUTA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA (NA. 5 YA 1992) INAYORUHUSU MIKUTANO MIKUTANO YA HADHARA? KAMA JIBU NI NDIYO, SHERIA IPI NYINGINE ANA MADARAKA YA KUIFUTA BILA KUSHIRIKISHA BUNGE?
Kwenye nchi zinazo heshimu utawala wa sheria na wanainch wake wanajitambua, hawezi lakini katika nchi ambazo aziheshimu utawala wa sheria na tamko la rais ndiyo sheria kama tz anaweza
Sina uhakika ila Mamlaka aliyonayo Raisi wa Tanzania ni kama ya Kifalme anaweza kuamuru Wapinzani wauwawe hadharani labda baadae Mahakama za Kimataifa ndio zitazomtia Hatiani
Ndio maana Mwendazake alijaribu kuua na kupoteza na kutesa Watu huku akipigiwa makofi na kuombwa awe Raisi wa maisha.kama Hayati Hastings Kamuzu Banda.
Hana mamlaka hayo kwa sababu haki ya kufanya mikutano ya kisiasa siyo tu kwamba ni haki ya kikatiba bali pia ni universal declaration of human rights.Mleta uzi umeelewa?