Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

Mishahara ,Siku 14 walizojiaisoleti zitakuwa eksikuludedi kwenye malipo yao
Kwani posho ni nin mkuu? Me nazani chadema walijua kabisa kujiisolet watakosa posho na wamekubaliana na hilo, nachojua unalipwa posho baada ya kusaini mahudhilio pindi uingiapo bungeni sio otherwise. Jiwe anatafuta kiki tu za.kishamba kwenye hilii.

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo limeanzia hapo Mkuu, kama serikali inauwezo wa kuliamuru Bunge kufanya inavyotaka basi hilo ni tatizo.
Anauwezo huo kama head of state na sio kama head of government, hayo ni mamlaka yake ya kikatiba.
 
Wabunge wanajiweka karantini halafu wanakuwa wa kwanza kusema kwanini rais asitoke Chato na kwenda Dodoma!!.

Siasa wakati mwingine ni mchezo wa kinafiki sana.
 
Umeandika nini wewe boya
 
Na kuna magari yanazunguka na vipasa sauti wakihimiza watu kwenda kuhakiki majina kwenye daftari la wapiga kura. Uchaguzi mkuu October 2020. Magufuli 98.71% James Mbatia 1.05%
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa anatoa yeye.
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

Eti nabakia Africa.
 
Alafu anatokea mjinga eti bora niende nikaishi Ulaya, wakuu tukomaeni tuiendeleze na tuinue uchumi wa nchi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anafurahisha baraza huyo mpima corona mapapai. Mbunge asiyeingia bungeni automatically halipwi posho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…