FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,236
- 2,512
Maadui wetu ni ujinga, umasikini na maradhi. Nini kilimtoa mtangulizi wake, licha ya ulinzi kama kundi la ng'ombe?Chief mimi huwa namkosoa mama kwenye mambo mengi tu lakini kwenye swala la usalama wa Rais bado hata huo uliouona hautoshi.Rais ni lazima alindwe mkuu.
tupo na maadui wengi wa nje na ndani.
Hata ujilinde na mamilioni ya Askari,siku wakiamua kukutoa wanatumika hao hao wa ndani na walinzi.Chief mimi huwa namkosoa mama kwenye mambo mengi tu lakini kwenye swala la usalama wa Rais bado hata huo uliouona hautoshi.Rais ni lazima alindwe mkuu.
tupo na maadui wengi wa nje na ndani.
Weka picha weweeeMpaka hapo uzi kamili....
Nimeona mama yuko ziara, halafu majamaa yamepiga combat, na mitutu juu, halafu ziara yenyewe ni kaenda kuona wananchi wake.
Hii ina effect gani kisaikolojia kwa wananchi? Na inamaanisha nini? Maanake sio kwamba usalama wameshindwa kuweka usalama pasipo 'ku send message'....sijui kama naeleweka lakini.
Raisi ni raisi tu lazima alindwe hadi amalize muda wake kikatiba. Ingawa simkubali Mh.Samia toka anakuwa makamu wa raisi lakini hili la ulinzi mkubwa namuunga mkono tena aongezewe ulinzi mkubwa zaidi.Chief mimi huwa namkosoa mama kwenye mambo mengi tu lakini kwenye swala la usalama wa Rais bado hata huo uliouona hautoshi.Rais ni lazima alindwe mkuu.
tupo na maadui wengi wa nje na ndani.
Akiwa ziara za nje huko ughaibuni suala la ulinzi na hiyo mitutu huwa inakuwepo?Chief mimi huwa namkosoa mama kwenye mambo mengi tu lakini kwenye swala la usalama wa Rais bado hata huo uliouona hautoshi.Rais ni lazima alindwe mkuu.
tupo na maadui wengi wa nje na ndani.
Hii sio kauli nzuri kwa Rais wa nchi yako, tujaribu kuwa waungwana na tuwapende viongozi wetu.Hii kasumba aliianzisha Ibilisi Magufuli.
Hizi stress hizi.Hii kasumba aliianzisha Ibilisi Magufuli.
Hicho hicho unachokionaMpaka hapo uzi kamili....
Nimeona mama yuko ziara, halafu majamaa yamepiga combat, na mitutu juu, halafu ziara yenyewe ni kaenda kuona wananchi wake.
Hii ina effect gani kisaikolojia kwa wananchi? Na inamaanisha nini? Maanake sio kwamba usalama wameshindwa kuweka usalama pasipo 'ku send message'....sijui kama naeleweka lakini.
Mkuu, kama umenisoma vizuri, sijasema asilindwe....ukiread between the lines utanielewa.Chief mimi huwa namkosoa mama kwenye mambo mengi tu lakini kwenye swala la usalama wa Rais bado hata huo uliouona hautoshi.Rais ni lazima alindwe mkuu.
tupo na maadui wengi wa nje na ndani.
Umenisoma eee! Yani ile inafanya hapo ni mesej ya kisaikolojia kwa umma... ni kama rais anaelewa hakubaliwi hivyo kutumia njia ya 'fear' na kutojali wananchi watajiskiaje wakiona raisi kazungukwa na ma himars utadhani kaenda ziara kwenye nchi ya kivita.Maadui wetu ni ujinga, umasikini na maradhi. Nini kilimtoa mtangulizi wake, licha ya ulinzi kama kundi la ng'ombe?
Mkuu, nikipata ntatupia...nilikuwa nimeingia TBC kumcheki Messi nikakuta ni mama ndio anaupiga mwingi mubashara.Weka picha weweee